TANGAZA NASI LEO

Thursday, January 26, 2012

Amos Makalla (CCM) akiwa Milama


Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (CCM),( mwenye kaunda suti)
akifafanua jambo baada ya kuoneshwa moja ya kisima ambacho kipo katika
hatua ya mwisho kati ya visima nane vilivyochombwa na Taasisi moja ya
Kimarekani katika Kijiji cha Milama, Kata ya Dakawa, Wilayani Mvomero,
Mkoani Morogoro kwa lengo la kuwaondolea shida ya maji wananchi wa Kijiji
hicho.

0 comments: