Wazanzibari waliokimbilia Somalia warejea nyumbani

Baadhi ya Wanzania 38 waliokuwa wakimbizi Jijini Mogadishu wakielekea sehemu ya mapokezi mara baada ya kushuka katika ndege la Umoja wa Ma...

Baadhi ya Wanzania 38 waliokuwa wakimbizi Jijini
Mogadishu wakielekea sehemu ya mapokezi mara baada ya kushuka katika ndege
la Umoja wa Mataifa iliyowaleta nyumbani wakiwa na wake zao walioa nchini
Somalia baada ya kuishi huko kwa miaka 11,walikimbia vurugu za Januari
26/27 mwaka 2001

Watanzania 35 kati ya 38  waliokuwa wanaishi ukimbizini Jijini Mogadishu nchini Somalia wamewasili salama Kisiwani Pemba kuanza maisha mapya baada ya kuishi kama wakimbizi kwa miaka 12.

Afisa Msaidizi anayehusika na Ushirikishwaji Habari na Umma wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa Ofisi ya Tanzania, Austin Makani alisema Watanzania hao wamewasili Bandari ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana saa 5.00 asubuhi wakitokea Unguja na Boti iendayo kasi ya Sea buss III.

Mjini Unguja,walifikia Hoteli ya Bwawani walikolala kwa usiku moja kabla
walipogawanywa wakaazi wa Pemba 30 walianza safari iliyowachukua hadi Chake Chake na wale wa Unguja walikabidhiwa kwa Mamlaka za Serikali.

Watanzania hao wakiwa na familia zao wengine wakiwa wameshaoa raia wa Somalia ni 35 ambao ni wakaazi wa Pemba,watano wanaishi Unguja.
Baadhi ya Watanzania waliokimbilia Mogadishu mwaka 2001
wakiwa katika Ofisi ya Uhamiaji Zanzibar jana. Wa kwanza ni Mohammed
Adam(38)  akiwa amembeba mwanawe mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Abeid Amani Karume,wanaotazama kamera ni baadhi ya wake wa
Watanzania hao ambao ni raia wa Somalia waliowasili jana wakitokea
Mogadishu Somalia

 Juzi, ndege mbili za Umoja wa Mataifa zinazohusika na huduma za kibinadamu ziliwabeba raia hao wa Tanzania wakitokea Somalia waliwasili  uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume saa 8:15 mchana wakiwa na siha njema na wenye furaha walipokelewa na Maofisa wa UNHCR Ofisi ya Tanzania.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Meja mstaafu Juma Kassim Tindwa aliwapokea wananchi hao katika Bandari ya Mkoani akiwaeleza kuwa wamefanya uamuzi wa busara kurejea nyumbani kuungana na familia zao na Watanzania wengine katika ujenzi wa Taifa.

Katika Bandari ya Mkoani licha ya eneo lake kuwa dogo, wananchi wengi
walijitokeza kuwalaki raia wenzao ambao hawakuwaona kwa muda wa miaka 11 sasa waliokuwa wamekimbia vurugu za kisiasa zilizotokea Januari 26 na 27 zilizosababisha watu kadhaa kupoteza maisha na wengine kukimbia makazi yao.

Makani alisema mwisho wa safari na huduma za UNHCR ni Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba ambapo kuanzia hapo mkataba wao wa kuwahudumia utakuwa umemalizika na watahesabika kuwa ni raia wengine wa kawaida wakiungana na familia zao.

Ofisa Habari wa UNHCR Somalia, Andy Needhem alisema raia hao wameuamua wenyewe kurejea na kwamba wengine 52 bado wapo Jijini Mogadishu wakitazama hali itakavyokuwa baada ya wenzao kurudi nyumbani.
Watanzania waliokuwa wakimbizi katika kambi ya Mogadishu
wakielekea kupanda mabasi maalum yaliyoandaliwa na Shirika la kuhudumia
wakimbizi la Umoja wa Mataifa baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume jana

Alisema wamepata ushirikiano kutoka Serikali ya Somalia, Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania katika kushughulikia kurejea nyumbani kwa Watanzania hao.

Ofisa Mwandamizi wa UNHCR anayehusika na ulinzi, Linmei Li,alisema kurejea kwa Watanzania hao waliokuwa wakimbizi ni matumaini kwamba hakuna nchi katika dunia yenye kinga ya kuzalisha wakimbizi iwe kubwa au ndogo kama Tanzania ambayo kwa kipindi cha miaka 40  imekuwa ikihifadhi wengine,lakini zaidi ya raia wake 2000 kutoka Pemba walikimbia Kisiwani humo na kuwa wakimbizi nchi nyengine.

“Waliokuwa wakimbizi 38 waliorejea leo wanastahiki kulindwa na nchi
yao,UNHCR tumewapatia msaada watu wazima na watoto wao kuweza kujikimu kwa muda wa miezi minne, tunaishukuru  Somalia na Tanzania” Alisema Linmei katika mkutano wake na waandishi wa habari Mjini Zanzibar jana.

Akizungumza kwa niaba ya wenzake, Rashid Abdallah Said alisema wanaishuruku UNHCR kwa huduma walizowapatia,Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Serikali ya Somalia kwa muda wote walioishi Somalia hawakupata matatizo.

Ameiomba Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na ile ya Jamhuri ya Muungano kuwasaidia angalau chochote au hata mikopo nafuu kuweza kuanza kujitegemea kwani wana familia ambazo zinahitaji kuhudumiwa na wao hawana kazi.
Source: Na Juma Mohammed,MAELEZO Zanzibar

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Wazanzibari waliokimbilia Somalia warejea nyumbani
Wazanzibari waliokimbilia Somalia warejea nyumbani
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpbFbU0Q6c1BEOomqkhSqoTymYg1y4xN0F-VQ4hAwl8AGTmXaDMr2bsVx_4yDh-0VfPZz8oRXIkWag3eyTWkuatUqURrCMprtmCc3335s6uTEgvalWGXfMaAru2LGkAo4SKFYu957EdiL5/s320/DSC00959+NDEGE+LETA.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpbFbU0Q6c1BEOomqkhSqoTymYg1y4xN0F-VQ4hAwl8AGTmXaDMr2bsVx_4yDh-0VfPZz8oRXIkWag3eyTWkuatUqURrCMprtmCc3335s6uTEgvalWGXfMaAru2LGkAo4SKFYu957EdiL5/s72-c/DSC00959+NDEGE+LETA.JPG
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2012/07/wazanzibari-waliokimbilia-somalia.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2012/07/wazanzibari-waliokimbilia-somalia.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy