Leo asubuhi nilitembelea http://uyui.wordpress.com/ nikakutana na jambo lililonifurahisgha sana utiaji lami wa uwanja wa ndege wa tabora. Uwanja huu una historia ndefu sana,.historia ndefu kama urefu wa mjiahs aya watu  sina uhakika kama bloga wa Uyui anajua hili. Akatumegea toka radio za Tabora zilipotumika kuunganisha ndege kuanzia kusini kwenda kaskazini, ilikuw ahuwezi kuvuka anga la Tanganyika bila kuita Tabora ukaitikiwa.

Uyui wamesema :Habari njema:Uwanja wa Ndege wa Tabora unawekewa lami.

Tabora airport strip is under major improvements. The  work is in progress as you can see in the picture. It is not about the work itself as such, but the hope and expectation of resumption of awaited flight services to/from Tabora.
  
Uwanja wa ndege wa Tabora kwa sasa unakarabatiwa kwa njia za kurukia na kutulia ndege kuwekewa lami. Hii ni habri njema za kuleta matumaini ya kurejea kwa huduma zinazosubiriwa kwa hamu na shauku kubwa.
                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                             Anga la Tabora kufunguka baada ya ukarabati wa uwanja wa ndege.
 Kazi ya kukarabati uwanja wa ndege wa Tabora (Picha kutoka blog ya Juma Kapipi) italifungua anga la mji huo na kufanya Tabora kufikika kwa kutumia usafiri wa anga, gari moshi (treni) na pia kwa barabara zinazoingia mkoani humo kutokea Mikoa ya Katavi, Shinyanga, Singida, Kigoma na Mbeya.

On going construction work of tarmacking Tabora airstrip is in progress (Picture by Juma Kapipi Blog). The work will ultimately reopened up the sky of Tabora and make the Municipal more accessible through airways, railways and by roads from Katavi, Shinyanga, Singida, Kigoma and Mbeya Regions. 

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO