Umeme visiwani kuongezaka mara mbili baada ya kuwasha njia mpya

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ESB International yasherehekea mafanikio ya mradi kabambe  10 Aprili 2013, Kampuni ya ESB Int...



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI




ESB International yasherehekea mafanikio ya mradi kabambe
 10 Aprili 2013, Kampuni ya ESB Internatioanl (ESBI) ya Ireland,  leo inasherekea mafanikio makubwa ya jukumu lake kama mhandisi mshauri kinara wa moja ya miradi kubwa zaidi Afrika wa nishati – Mradi huo wa Nishati uliochini ya Millennium Challenge Account Tanzania (MCA-T), kwa kuwasha rasmi njia mpya ya msongo wa umeme wa 132kV unaotoka Tanzania bara kwenda Zanzibar.
 Kiunganishi hicho [Interconnector], ambayo ni moja tu ya kipengele cha mradi huo wa nishati, kitakuwa na uwezo wa kusafirisha megawati 100 za umeme kutoka Tanzania Bara kwenda visiwani Zanzibar, ambayo ni mara mbili zaidi ya uwezo uliopo sasa wa upitishaji wa umeme katika njia zilizopo.  
 Mwaka 2008, ESBI ilishinda zabuni ya kimataifa ya mhandisi mshauri ya kutoa huduma kiushauri za nishati kwa MCA-T. Moja ya changamoto kubwa nchini, ni maendeleo duni ya miundombinu kwenye tasinia ya nishati. Kwani ni aslimia 15 ya idadi ya watu inayopta umeme toka gridi ya taifa. Serikali ya Marekani ilifadhili mradi huo wa nishati kwa kutoa dola za Marekani 200milioni kupitia MCA-T. Lengo la mradi huo ni kuhakikisha maendeleo ya muda mrefu katika usambazaji wa umeme kwa kizazi kijacho.
 Akizungumza kuhusu mradi huo, Bwana. Karl Fickenscher, Mkurugenzi Mkazi wa Millennium Challenge Corporation (MCC) alisema: "tunafahari kufadhili mradi huu muhimu na tunafuraha kuona umefikia hatua hii. Kwa uwekezaji wanamna hii tu tunataraji kuimarisha ubora na upatikanaji wa umeme katika Tanzania. Na ni matumaini yetu, kwa msaada wa washirika kama vile ESB, watu zaidi ya milioni 1.5 watafaidika kutokana na mradi wa umeme wa MCC kwa zaidi ya miaka 20 ijayo. "

Sherehe za uzinduzi huo zilifanyika Ikulu ya Zanzibar na kuhudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, Mkurugenzi Mtendaji wa MCC Daniel W. Yohannes, Bw Fickenscher, Mkurugenzi Mtendaji wa MCA-T Bernard Mchomvu, na Kaimu Mkureugenzi Mtendaji wa MCA-T Ahmed Rashid. Wenginewaliohudhuria sherehe hizo ni pamoja na Kaimu Mkuregenzi Mtendaji ESB   John Shine, Mkurugenzi  Mtendaji ESB Ollie Brogan na Mkurugezi wa Miradi ESB John Ashley.
 Akizungumza juu ya mradi Bw Brogan alisema: "Tumefurahi kwa kufikiwa kwa hatua hii kubwa ya uzinduzi wa njia hii kubwa mpya ya umeme leo. Tumetoa huduma ya ushauri kwa MCA-T, ikiwa ni pamoja na vipimo na usimamizi wa ufungaji wa mambo yote ya viunganishi ikiwa ni pamoja na vituo vidogo vya kupoozea umeme, na mkonga wa nchini ya bahari,. Pia tumetoa huduma za ushauri kwa miradi inayoendelea MCA-T ya umeme vijijini ambayo inajengwa zinajengwa katika mikoa saba ya Tanzania. "
 Aliongeza: "Hii inaonyesha uwezo wa ESB wa kuchanganyika kirahisi na tamaduni nyingine, kuweza kufanyakazi na mashirika mengine ya umeme, kusimamia makampuni mbali mbali ya ukandarasi ya matiafa mengine pamoja na kusimamia masuala ya kijamii na kimazingira kama yanavyojitokeza. Ujio wa umeme huu utabadilisha maisha ya watu na kutoa mwanga mpya kwa vizazi vya baadaye kama ilivyokuwa katika Ireland katika miaka ya 1950. "
- Mwisho -
 Kuhusu ESB International
ESB International (ESBI) ni moja ya kampuni kubwa za uhandishi ushauri barani Ulaya na imejikita kuongoza uhandisi maalumu katika sekta ya umeme. Tangu kuanzishwa kwake karibu miongo minne iliyopita, imekamilisha miradi katika nchi 115. Kampuni pia imebobea kwenye miradi mikubwa ya miundombinu kwa niaba ya kampuni tanzu ya ESB ikiwa ni pamoja na wateja wa kimataifa.
ESBI hutoa ushauri wa mtaalamu katika masuala yote ya mafuta na nishati mbadal, usambazaji na ugawaji wa umeme wa kimkakati kama vile teknolojia ya kisasa. Ufuaji umeme toka baharini. Kwa sasa imeajiri zaidi ya wafanyakazi 800.
Kuhusu Millennium Challenge Corporation (MCC)
Millennium Challenge Corporation (MCC) ni shirika la misaada linalojitegemea la Kimarekani ambalo leno lake ni kuongoza mapambano dhidi ya umaskini duniani lilianzishwa na Bunge la Congress ya Marekani Januari 2004, Mtizamo wa MCC ni kutafuta namna bora zaidi na nzuri ya ubatikanaji wa misaaada toka Marekani kwa kuzingatia sera rafiki, umiliki nchi, na matokeo. Mwaka 2008, serikali ya Marekani na serikali ya Tanzania zilisaini makubaliano ya miaka mitano chini ya Compact ilikuiwezesha Tanzania katika kufikia malengo ya ukuaji wa Millennium Challenge kiuchumi na kupunguza umaskini kwa njia ya maendeleo ya miundombinu. Kama sehemu ya Compact, serikali ya Marekani ilitoa ruzuku ya dola za marekani 686,000,000 kufadhili miradi ya miundombinu katika sekta Nishati, Usafiri na Maji.
 Taarifa kuhusu mkataba wa mhandisi ushauri wa ESBI
 Mwaka 2008 ESBI ilishinda mkataba wa ushahuri huduma wa jumla wa dola za kimarekani 25 millioni kupitia mchakato wa kimataifa na unatakiwa kukamilika Septemba 2013. Mradi huo ni pamoja kufanya yafuatayo: –
 -Utoaji na ufungaji wa msongo wa 132kV wa chini ya bahari kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar
- Utoaji na ufungaji wa nyanya za juu za 132kV sehemu ya nchi kavu upande wa  Tanzania Bara na Zanzibar
- Utoaji na uwekaji wa vifaa vya kusambazia umeme kwa vituo vidogo 22 pamoja na vituo vingine katika mtandao huo nchini kote.
 -Utoaji na uwekaji wa mifumo mipya ya mtandao wa usambazaji na ukarabati wa mifumo ya iliyopo katika mikoa saba ya Tanzania
 -Ubunifu wa awali wa mtambo wa kuzalisha umeme wa 40MW Magharibi mwa Tanzania.
 -Mipango ya kuyajengea uwezo mashirika ya TANESCO kwa Tanzania bara na ZECO,kwa Zanzibar .

Awamu za mkataba zilijumuisha:
  • Kuandaa mipango -------Planning phase
  • Maandalizi ya kiufundi ya nyaraka za tenda na uchambuzi wa tenda.
  • Majadiliano ya mikataba na walioshinda tenda.
  • Upitiaji na uidhinishaji wa michoro ya ujenzi ya wakandarasi iliyowasilishwa.
  • Usimamizi wa utekelezaji wa mambo yote ya mradi.
  • Kupokea na kuthibitisha ukamilishaji wa mambo katika mradi.
  • Provision of Defects Liability Period services

Kwa taarifa zaidi tembelea: www.esbi.ie

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:
Ogilvy Ireland -Colette Campbell at 01 660 030. /colette.campbell@ogilvy.com
Ogilvy Dar es Salaam –Martin Kasavuli - martin.kasavuli@ogilvyafrica.com

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Umeme visiwani kuongezaka mara mbili baada ya kuwasha njia mpya
Umeme visiwani kuongezaka mara mbili baada ya kuwasha njia mpya
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2013/04/umeme-visiwani-kuongezaka-mara-mbili.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2013/04/umeme-visiwani-kuongezaka-mara-mbili.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy