Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Iringa Mjini (IRUWASA), Pascal Mhongole na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Ilula wakibadilishana hati za ukarabati wa mradi wa maji Ilula toka chanzo cha mto Idemle wakati wa makabidhiano ya mradi huo wa Sh Milioni 903 uliosimamiwa na IRUWASA (Picha na Frank Leonard)

Sehemu ya bomba linalovuja mradi wa maji Ilula

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO