Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwasha Mwenge wa Uhuru  kuanza rasmi mbio za mwaka huu  katika Halmashauri na Manispaa zipatazo 179 za mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar ,uzinduzi huo ulifanyika jana ( Aprili 18) katika uwanja wa Jamhuri wa mjini Morogoro ( kulia ) ni Waziri wa Kazi , Uwezeshaji Wazee , Wanawake na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ,Moundin Castico  na ( kulia kwa Makamu wa Rais ) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge , Sera, Vijana , Ajira na Walemavu  , Jenista Mhangama.
( Picha na John Nditi).

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO