DAR YAADHIMISHA MIAKA 3 YA BABA MTAKATIFU FRANCIS MADARAKANI

Mwakilishi wa Baba Mtakatifu na Vatican hapa nchini Balozi Francisco Montecillo Padilla, akihutubia katika Hafla hiyo ambapo alitumia furs...

Mwakilishi wa Baba Mtakatifu na Vatican hapa nchini Balozi Francisco Montecillo Padilla, akihutubia katika Hafla hiyo ambapo alitumia fursa hiyo kuipongeza Serikali ya Tanzania na watu wake kwa ukarimu, upendo pia ushirikiano aliokuwa akiupata kwa kipindi chote alichokuwa anawakilisha Taifa lake hapa nchini.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika hafla ya kuadhimisha  miaka mitatu ya Uongozi wa Baba Mtakatifu Papa Francis  pamoja na kumuaga Balozi wa Vatican  na muwakilishi wa Papa hapa nchini Askofu Francisco Montecillo Padilla ambaye amemaliza muda wake wa kuhudumu hapa nchini.

Hafla hiyo ilifanyika jana jioni katika viwanja vya Parokia ya Mtakatifu Petro Osterbay Jijini Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo Mhe. Mahiga alimpongeza Papa Francis pamoja na kumuelezea kuwa ni mtu wa Mataifa yote na mfano wa kiongozi bora duniani kwakuwa misingi yake ya uongozi imejikita katika kusimamia utu, kupinga Ubaguzi wa rangi pamoja na matabaka katika jamii. Pia amekuwa mpiganaji mkubwa katika masuala ya amani na mtetezi wa wakimbizi hivyo Tanzania na Dunia nzima inatambua mchango wake kwa ujumla na kuzidi kumwombea mafanikio katika utendaji wake.
Waziri Mahiga akisalimiana na Kadinali Pengo wakati wa ghafla hiyo

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamini W. Mkapa akizungumza na Dkt. Mahiga
 


Mkuu wa Mabalozi hapa nchini Mhe. Ambrosio Montecillo Balozi wa Angola akizungumza na mmoja wa Maaskofu waliokuwepo kwenye Hafla Hilo

Kutoka kulia ni Kardinal Pengo, Mke wa Rais wa awamu ya tatu, Mama Anna Mkapa na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Askofu Tarcisio Ngalalekumtwa wakifurahia jambo kwa pamoja
 

Sehemu ya Mabalozi waliohudhuria Hafla hiyo


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akihutubia katika Hafla ya kuadhimisha miaka mitatu ya uongozi wa Baba Mtakatifu Papa Francis na Kumuaga Balozi wa Vatcan hapa nchini aliye maliza muda wake wa uwakilishi.Hafla ambayo ilifanyika jana katika viwanja vya kanisa la Mt. Petro Jijini Dar es Salaam

Askofu Francisco Montecillo Padilla akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Mabalozi waliohudhuria hafla hiyo

Mkurugenzi wa Idara ya Amerika na Ulaya wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Joseph Sokoine (wa kwanza kushoto), akizungumza na Balozi wa Ujerumani hapa nchini Mhe.Frank Walter Steinmeier
 
Vilevile alimpongeza Askofu Francisco Montecillo Padilla ambaye amekuwa akihudumu  nchini  kwa muda wa miaka minne (4) na kueleza kuwa amekuwa mfano bora katika kazi za kichungaji kwa kuweza  kutembelea  nchi nzima katika Majimbo ya Kanisa Katoliki licha ya kazi yake kuwa na changamoto nyingi. Alikumbusha tukio la mlipuko lililotokea kanisani  mjini Arusha wakati Askofu Padilla akiendesha Ibada, ni mfano dhahiri wa kazi alizokuwa akizifanya nchini na katika hilo amejiwekea historia katika huduma yake ya kichungaji.

Kwa upande wa ushirikiano  baina ya Tanzania na Vatican, Mhe. Mahiga alieleza ni wa muda mrefu tangu 1960. Katika kuhakikisha uhusiano huo unaimalika mataifa hayo mawili yamekuwa yamekuwa yakifanya jitihada za makusudi katika kukuza uhusiano huo na alieleza hilo lilidhihirishwa na ujio wa Papa John Paul wa pili ambaye alifanya ziara nchini Tanzania mwaka 1990.

Pia alieleza Mhe. Rais Magufuli anapenda kutoa shukurani za dhati kwa huduma ambazo zimekuwa zikifanywa na Balozi wa Papa nchini pamoja na Kanisa Katoliki katika kuchangia shughuli za maendeleo hasa katika sekta ya Afya na Elimu ambapo wamefungua Shule za ufundi za Don Bosco katika Mikoa yote ."Ni imani yangu kuanzishwa kwa shule hizo hakutaishia katika ngazi ya mikoa tu, bali utaendelea katika ngazi ya wilaya na hata kata"

Aidha, alizungumzia sera ya viwanda ya  Mhe. Rais John Pombe Magufuli katika kuondoa tatizo la kukosa ajira na kukuza uchumi wa Taifa, alimweleza Balozi huyo ni muda muafaka sasa mataifa hayo mawili yakajikita zaidi katika kuhakikisha yanaibua maeneo mapya ya ushirikiano ili kuhakikisha sera hiyo inafikiwa kwa kuvutia zaidi wawekezaji na kukuza biashara.

Watu wengine mashuhuri waliohudhuria hafla hiyo ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya tatu Mhe. Benjamin W. Mkapa na mke wake Mama Anna Mkapa, Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa, Kadinali Polycarp Pengo na  Maaskofu wa Majimbo ya Kanisa Katoliki nchini, wengine ni Watawa na Walei.
   
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dar es Salaam, 21 Juni 2016.

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: DAR YAADHIMISHA MIAKA 3 YA BABA MTAKATIFU FRANCIS MADARAKANI
DAR YAADHIMISHA MIAKA 3 YA BABA MTAKATIFU FRANCIS MADARAKANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNCXAwfRBRihUU2Lxxc8c4FKKy4-dRfjUs_C5AA2mBG5CvaKsZGu6YyjRlLfAHgaqoXRcSQxdPlxNGx9ib-HC7gSRu8Bt5xaS-ZokM6JhjywB7eKbUD9yzGeHPv07TOskGThJl_Z0GgP4/s320/9.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiNCXAwfRBRihUU2Lxxc8c4FKKy4-dRfjUs_C5AA2mBG5CvaKsZGu6YyjRlLfAHgaqoXRcSQxdPlxNGx9ib-HC7gSRu8Bt5xaS-ZokM6JhjywB7eKbUD9yzGeHPv07TOskGThJl_Z0GgP4/s72-c/9.JPG
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2016/06/dar-yaadhimisha-miaka-3-ya-baba.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2016/06/dar-yaadhimisha-miaka-3-ya-baba.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy