Zesco United wamewatandika Al Ahly ya Misri bao 3-2 katika mechi iliyofanyika uwanja wa Levy mjini Ndola  katika kinyang'anyiro cha CAF Champions jana.
Wamisiri ambao waliwasili wakiwa na uhakika wa ushindi  kutokana na rekodi walijikuta wanazidiwa na vijana wa George Lwandamina.
Al Ahly  inafunmzwa na bosi wa zamani wa Tottenham, Martin Jol .

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO