Askari wa kikosi maalum akiimarisha ulinzi na usalama wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma

Gwaride la kikosi cha askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likiondoka uwanjani baada ya kumalizika kwa shughuli za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma.

Kiongozi wa Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao nchini akielekea kuweka shada la maua kwenye Mnara wa Kumbukumbu ya Mashujaa wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma.

Waziri Mkuu Mstaafu John Samuel Malecela akiwahutubia wananchi wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma

Rais John Magufuli akihutubia wananchi wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma .

Viongozi wakuu wa kitaifa wakifuatilia matukio ya sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma leo. Kutoka kushoto ni Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi.

Wabunge na maofisa mbalimbali wakifuatilia matukio ya sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma

Viongozi wa Kitaifa na wageni mbalimbali waalikwa wakiondoka kwenye Uwanja wa Mashujaa baada ya kumalizika kwa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa zilizofanyika kwenye uwanja huo mjini Dodoma

Wananchi wakifuatilia kwa makini sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma

Kikosi cha tarumbeta cha Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikitoa heshima wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa zilizofanyika kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Dodoma

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO