Baadhi ya wananchi kutoka pande tatu za wilaya ya Ulanga, Malinyi na Kilombero mkoani  Morogoro  wakiwemo wenye  baiskeri na pikipiki wakipita kwenye daraja la muda lililojengwa na Kampuni  ya M/S China Railway 15 Group Corparation katika  mto Kilombero , juzi ( Julai 23) baada ya Kivuko cha Mv Kilombero II kusimama kwa muda ili  kufanyiwa marekabisho madogo ya  kiufundi  kabla ya kuenza tena  kuvusha abiria na magari , Kampuni  hiyo  inajenga daraja la kudumu lenye  urefu wa mita 384. 
Kivuko cha Mv Kilombero II kikiwa majini huku wataalamu wakikifanyia marekebisho madogo ya kiufundi , juzi ( Julai 23) na baadaye kuendelea  kuvusha abiria na magari ,hali iliyosababisha abiria waliokuwepo pande mbili za mto Kilombero kuruhusiwa kupita katika  daraja la muda lililojengwa na  Kampuni  ya M/S China Railway 15 Group Corparation ambayo inajenga daraja la kudumu lenye  urefu wa mita 384. 
( Picha zote na mdau John Nditi).
Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO