WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO YA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI

Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu wa mkoa wa Dodoma Bw. Deogratius Nyinza (kulia) akifunga kikao kazi cha Wakuu wa Vyuo vy...

Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu wa mkoa wa Dodoma Bw. Deogratius Nyinza (kulia) akifunga kikao kazi cha Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vilivyo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto mjini Dodoma.Katikati ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw.Erasimus Rugarabamu na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw.Enterberth Nyoni (kushoto).
Wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii vilivyo vilivyo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufungaji wa mkutano huo iliyokuwa ikitolewa na Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu wa mkoa wa Dodoma Bw. Deogratius Nyinza mjini Dodoma.
Makamu Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Monduli anayeshughulikia Taaluma Bi. Columba Maboko akizungumza kwa niaba ya Washiriki wenzake waliohudhuria kikao kazi cha Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii wakati kufunga kikao hicho mjini Dodoma.
Wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu wa mkoa wa Dodoma Bw. Deogratius Nyinza (katikati mstari kwanza) na baadhi ya  viongozi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Na.Aron Msigwa - DODOMA.

Watumishi wa Umma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii, weledi na maarifa na kuwa tayari kukubali mabadiliko yanayotokea ndani ya Utumishi wa Umma ili kuliwezesha Taifa kufikia malengo yaliyokusudiwa katika utoaji wa huduma bora kwa wananchi.

Kauli hiyo imetolewa mjini Dodoma na Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu wa mkoa wa Dodoma Bw. Deogratius Nyinza wakati akifunga kikao kazi cha Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vilivyo chini ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto mjini Dodoma.

Akizungumza na Wakuu hao amesema kuwa wakati umefika kwa watumishi wote wa umma kutimiza kikamilifu wajibu na majukumu yao ya kila siku katika maeneo yao ya kazi kwa weledi mkubwa ili utendaji wao uweze kupimwa kwa kuwa na matokeo makubwa  kwa wananchi

Bw. Nyinza amesema kuwa wao kama viongozi wa Taasisi muhimu za Elimu hapa nchini wanapaswa kuwa chachu ya kuleta mabadiliko nchini kwa kuwa mfano katika kusimamia rasilimali fedha katika mapato na matumizi ili wananchi waweze kupata huduma endelevu  zilizokusudiwa.

" Najua mna sehemu kubwa sana katika kusimamia rasilimali hakikisheni mnasimamia vizuri fedha zinazopatikana ili zilete matokeo yaliyokusudiwa ili kuepuka mtego wa kuingia kwenye matumizi mabaya ya fedha za umma,kagueni matumizi yote ili kujiridhisha na mambo yanayotendeka katika maeneo yenu " Amesisitiza Bw.Nyinza.

Amewataka wawe tayari kuzuia aina yoyote ya ufujaji wa fedha katika vyuo wanavyovisimamia kwa kuzingatia kanuni na taratibu zinazosimamia matumizi ya fedha huku akisisitiza kuwa Serikali ya awamu ya tano inasimamia matumizi bora ya rasilimali za umma na kupiga vita matumizi mabaya ya fedha.

Ametoa wito kwa wakuu hao kuwa tayari kukubali mabadiliko ya mfumo wa elimu yanayotokea nchini kwa kuweka mikakati itakayowafanya waendane na mabadiliko yanayotokea ikiwemo uboreshaji wa Taasisi za elimu wanazozisimamia, kujiendeleza kielimu na kubuni vyanzo vipya vya mapato kwa lengo la kuongeza mapato ya taasisi zao.

Bw.Nyinza amewataka Wakuu hao wa vyuo kutekeleza maazimio yaliyotokana na kikao kazi chao ili Taifa liendelee kunufaika na mchango wao maendeleo ya Vyuo vya Maendeleo ya jamii.

Awali akizungumza  kabla ya kufungwa kikao kazi hicho, Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw.Erasimus Rugarabamu amewashukuru wakuu wa vyuo kwa ushiriki mzuri waliouonyesha wenye lengo la kujenga taasisi imara za utoaji wa elimu Bora ya Maendeleo ya jamii nchini.

Amesema ushiriki wao katika kikao kazi hicho utawawezesha kutekeleza majukumu yao katika viwango vinavyostahili na kuwawezesha kuziongoza taasisi zao kwa weledi kwa kuzingatia Sheria, Sera, Kanuni na taratibu zinazosimamia uendeshaji wa vyuo.

" Kikao kazi chenu kimekuwa kizuri sana, mmekua na ushiriki hai wenye lengo la kuwajengea uwezo na ufanisi wa kazi katika maeneo yenu, ninaomba mtakaporudi katika maeneo yenu ya kazi myazingatie yote" mliyojifunza kuleta maokeo chanya" Amesisitiza.

Amewataka kuzingatia maadili katika utumishi wao kwa kuzingatia kuwa wao ni watumishi wa umma pia kuwa tayari kukabiliana na  changamoto ya ukiukwaji wa maadili unaofanywa na baadhi ya watumishi walio chini yao ili kujenga nidhamu kazini.

Kwa upande wake Makamu Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii Monduli anayeshughulikia Taaluma Bi. Columba Maboko akizungumza kwa niaba ya Washiriki wenzake waliohudhuria kikao kazi hicho amesema kuwa wao kama viongozi wa Vyuo hivyo wako tayari kuhakikisha Ubora wa Elimu katika Vyuo vya Maendeleleo ya Jamii nchini unaimarishwa.

"Sisi kama wasimamizi na viongozi tuliopewa dhamana ya kuongoza vyuo  vya Maendeleo ya Jamii nchini, Tuko tayari kuyafanyia kazi mafunzo yote tuliyopewa ili vyuo vyetu viendelee kuzalisha wataalam bora wa Maendeleo ya Jamii" Amesema Bi. Columba.

Amefafanua kuwa katika kutekeleza Majukumu yao watahakikisha wanasimamia vyema mapato na matumizi ya fedha za Serikali zinazoelekezwa katika vyuo hivyo  ili kuviwezesha vyuo hivyo kutoa huduma kwa jamii.

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO YA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI
WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO YA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI
https://1.bp.blogspot.com/-de1zY0cPACw/V4n06M4qn4I/AAAAAAAA41Y/DzDqu4VzFKskoUUAGpevSVQX5Bk0Kz_jQCLcB/s640/tmp_32479-Picha%2Bna%2B1-1793538332.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-de1zY0cPACw/V4n06M4qn4I/AAAAAAAA41Y/DzDqu4VzFKskoUUAGpevSVQX5Bk0Kz_jQCLcB/s72-c/tmp_32479-Picha%2Bna%2B1-1793538332.JPG
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2016/07/watumishi-wa-umma-watakiwa-kuwa-chachu.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2016/07/watumishi-wa-umma-watakiwa-kuwa-chachu.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy