Mazishi ya Addah Alex Chacha Magere (Binti Binagi), aliyekuwa akiishi Jijini Dar es salaam, yamefanyika jana Agost 23,2016 katika Kijiji cha Waigero Wilaya ya Butiama mkoani Mara.

Alifariki dunia Agost 19,2016 Jijini Dar baada ya kuugua kwa miezi kadhaa ambapo ameacha mme na watoto watatu. Mauti yamemkuta akiwa na miaka 57. Pumzika kwa Amani, Adda (1959-2016), Amen!
Mchungaji Machumu Julius Machumu wa Kanisa la Waadventist Wasabatho SDA, akiongoza ibada ya mazishi.
Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na mafariki wote walioguswa na msiba huu. Picha zaidi Bonyerza Hapa

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO