Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Renatus Nkwande (katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa kabla ya mazungumzo yao , Ofisini kwake jijini Dar es alam Agosti 18, 2016.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tercius Ngalekumtwa  (kushoto kwake), Askofu Renatus Nkwande wa Jimbo Katoliki la Bunda (wapili kulia)  na katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Raymond Saba (kulia), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 18, 2016. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO