Filamu fupi ya Kitanzania iliyoingia kwenye Tuzo za Kimataifa ya Film4climate iliyoandaliwa na Worldbank, naomba support zenu kuipigia kura na kusambaza link
Jinsi ya kupiga kura unabonyeza link ya blue hapo chini
https://www.film4climate.net/?eid=1985343
ikimaliza kuload itakuletea filamu ya Think Green chini yake kuna neno Vote libonyeze ili kupiga kura litakupa majibu kuwa umeshavote, unavote kila baada ya masaa 24 kwa kila device, kura moja inahesabika kwa kila device, simu moja kura moja, kama una simu na computer pia ruksa kutumia vyote ili kuongeza kura hata kama una simu 20 piga kwa kutumia zote
Ukimaliza Kuvote Share link sambaza kwa wingi ili Tuzo ije Tanzania

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO