Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Morogoro, Ulrich Matei, pamoja na  Ofisa Maliasili wa mkoa wa Morogoro, Joseph Chuwa, ( kushoto) wakimwaga chini kiroba iliyohifadhi magamba ya mnyama adimu Kakakuona ‘ Pangolin Scars’  jana ( Okt 29 )  kati ya mifuko 67 iliyokuwa imehifadhiwa  ndani ya  ghala moja lenye mashine ya kukoboa na kusaga nafaka  eneo la mtaa wa Reli , Kata ya Kichangani, Manispaa ya Morogoro yakisubiri kusafirishwa kwenda masoko ya nje , watu  wanne kati yao watatu wanaoshikliwa kuhusiana na tukio hilo ni raia wa Burundi.


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO