Leo 29 Oktoba ndio siku ya Kuzaliwa Rais wetu Dkt.John Pombe Joseph Magufuli,inawezekana mheshimiwa rais wetu labda siku hii anaichukulia ya kawaida tu au ya kifamilia tu,kwa muheshimiwa si mtu wa kupenda penda ufahari lakini pamoja na hayo sisi watanzania ni lazima tumtakie na kumuombea kila la heri,afya njema rais wetu Dkt.John Pombe Magufuli katika siku ya kuzaliwa ,Happy Birthday Mr.President https://www.youtube.com/watch?v=SJdfGQCmrYI

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO