Kongamano la Sauti ya Mwanamke ambalo limeandaliwa na Kampuni ya CHOCOLATE PRINCES inayoandaa kipindi cha THE MBONI SHOW chini ya mtangazaji wake Mboni Masimba, kinachoruka TBC1, litawakutanisha wanawake wengi Jijini Mwanza kupata elimu ya kujikwamua kiuchumi pamoja na kupata burudani.

Ni Jumapili tarehe 06.11.2016 katika Ukumbi wa Gold Crest Hotel kuanzia majira ya saa kumi alasiri kwa kiingilio cha shilingi elfu arobaini pamoja na chakula.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO