Waheshimiwa wabunge hakika tumeliona,msitunge sheria ya kuua taaluma.. wadau wanahaki ya kusikilizwa

KUNA wakati unatakiwa kuangalia taaluma kama taaluma na si vinginevyo. Na mie leo nataka kuitazama hivyo, kama mwanataaluma. Muswada wa h...

KUNA wakati unatakiwa kuangalia taaluma kama taaluma na si vinginevyo. Na mie leo nataka kuitazama hivyo, kama mwanataaluma. Muswada wa habari pamoja na mazuri yake, una shida ndogo na shida hii ukiiangalia unaiona kama si mbaya kihivyo lakini ukisoma vifungu husika kwa pamoja unagundua tatizo lake.
Inafaa wadau, waandishi wenyewe, kusikilizwa kwani katika hili wanalo lao jambo na wanataka kuweka sawa ukweli kuhusiana na muswada wa habari.
Ukipitia utakutana na mambo mauzir lakini pia utakuna amambo yanayotisha ambayo tafsiri yake huenda ikawa sawia na nguvu zaidi kuliko sheria zilizokuwa zinawaongoza waandishi wa habari ambazo pia zilikuwa sheria mbaya.
Nia ya kuwa na sheria hii ni nzuri katika kuweka taaluma sawa, lakini baadhi ya vifungu vikisomwa kwa pamoja vinatoa nguvu kubwa kwa serikali na kunyima uhuru wa kweli wa vyombo vya habari na wanahabari wenyewe.
Aidha yapo mambo ambayo ukiyatazama kiundani zaidi unagundua kurejeshwa kwa namna sheria ya magazeti ya mwaka 1976 na pia kubanwa bila sababu na sheria ya usalama wa taifa hata katika mambo ambayo kimsingi si ya usalama wa taifa. Bisha! Wakati tulipokuwa frontline sheria zote mbili zilikuwa lazima na maana kubwa kwa taifa hili, lakini je kwa sasa lazima ziwe kavu na utaratibu mkavu kuliko utaratibu wa simu na makampuni ya simu?
Ndio kusema inakuaje kama nguvu tunazotaka zipunguzwe kutoka kwa waziri na watu wanapokea maagizo na kuzipeleka katika bodi zimebaki kwa waziri hata kama kupitia kwa mkurugenzi wa maelezo?
Je si kweli kuwa utaratibu wa kusajili ni tofauti na utoaji leseni? Hatuoni kwamba serikali ikiwa na mamlaka kupitia mkurugenzi wa maelezo wa kutoa leseni kutachochea uchukuaji wa leseni inavyotaka? Kwa maana anaposajili zipo hatua za kuchukua kufuta usajili, leseni ni ahh ushaniuzi nipe leseni yangu.
Haya inakuaje kosa la kiufundi liangamize taasisi kukamwatwa kw amictambo ya kuchapia na kupiga mnada? Basi na madaktari wanaokosea operesheni wangelifutiwa leseni jumla na hospitali zao vifaa kupigwa mnada. Tunachotaa kusema masuala haya yabaki Bodi kama zilivyobodi nyingine na hatua zichukuliwe kama bodi nyingine zinavyochukua hatua na si kupoka vitendeakazi.
Lakini nataka kusema hivi haya yaliyoainishwa na wadau wa habari kuhusu muswada huo ili kuwa na makini basi tuyafuate… niendelee kuzungumza, siku nyingine lakini wabunge hebu someni bill na kisha someni haya ambayo wadau wanashauri yarekebishwe ili twende sambamba
Hebu yasomeni yana ubaya gani katika kuifanya sheria kuwa na maana kubwa katika kuipeleka mbele taaluma hii? Ukiangalia vifungu vinavyobishaniwa utajua tu kwamba muda ulioombwa unakidhi kabisa vigezo kwani kwa mara ya kwanza wadau wameweka na time frame. kwani muswada huu baada ya kuwasiliana na wadau kuwekana sawa hauwezi kweli kuwasilishwa Februari ili kuondoa kiwingu?NAWASILISHA




Proposals on the Media Services Bill (MSB)
Section 1
·         The name of the Bill in English does not reflect the intended meaning in the Kiswahili version the way it is translated; hence this fact needs to be corrected to read “Muswada wa Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari”.

·         Delete the words “on such date the Minister may, by Notice Published in the Gazette, appoint” and insert “Ninety days after the Bill is passed by the parliament.”

We think this gives assurance that the law will become operational timely to meet the requirements of professionalizing Journalism in the country.

The Parliament applied this spirit at the time of passing the Constitutional Amendment Act of 2014 whereby we borrow similar wisdom.
Section 3:

·         The interpretation given on Public Media is not correct:

Public media is not media owned by the government rather, media owned by public and answerable to the Parliament hence the words “Public Media” should be deleted and substituted with “Government Media.”

Section 5
·         Under 5(e) delete “licensing” and insert “registering”

·         The role of the Director of Information Services should remain to be registration of newspapers as it currently stands and the licensing process should remain to be a role of town councils in the country responsible for issuing business licenses. The law by introducing this role to the DIS it opens the room for double licensing which is cumbersome.

Section 6
6 (1)  – should recognize three types of media ownership as it is recognized under TCRA Act:-
(a)    Public
(b)   Private
(c)    Community

Also, all words reading “licensing” under Section 6 (1) be deleted, and replaced with the word “registering”.
·         6 (2)

Delete the whole subsection 6 (2) which sets condition of the ownership to be prescribe in the regulation. This concept is taken care of under Section 60 (1) and (2) of this Bill.

Section 7
·         7(1)(b) (iv) delete this section which ends with the words “…as the government may direct” in totality.

This subsection interferes with editorial independence; it is against media ethics and leads to censorship which is the worst scenario of the freedom of speech. This style used to be used by government in the 1600s and it is an outdated mode of controlling the media and the public by directing what should be broadcast and what not.

·         (2) (a)

“Before the word “undermine” insert the word “deliberately”

(b)

Before the words “impede due process…” insert the word “intentionally”

(c)

Before the worlds “disclose the proceeding…” insert the word “knowingly”.

(g)

Before the words “hinder or cause substantial harm…” insert the word “intentionally”

(h)

After the word “significantly” insert “and intentionally”

(i)

Before the words “damage the information holder’s…” insert the word “deliberately”
The above proposed additional words are crafted specifically to hold accountable intentional wrong doers and exonerate accidental wrong doers.
 On sub section (c) delete the world “licensing” replace with “registering”

Section 8
8 (1) & 2(a)
Delete all words reading “licensing” and insert the word “registering” in their place for the reasons mentioned under section 5 of this Bill in this addendum.

(2) (b)
Delete it as it is taken care of by section 60

Section 9
9(a)
After the words “requirements for…” delete the word “licensing” and replace it with “registering” for the reasons mentioned above. The world “licensing” should also be replaced with “registering” in the marginal notes.

(b)
·         Before the word “suspend” insert the words “in consultation with the Independent Media Council

·         After the words “or cancel the…” delete the world “license” and replace with “register”.

·         After the words “in the event of …” delete the worlds “failure of a licensee to comply” and insert the words “non compliance”.

·         After the words “prescribed conditions of…” delete the words “a license” and insert the word “registration.”

The new sub section 9(b) will read: “In consultation with the Independent Media Council suspend or cancel the registration in the event of non compliance with prescribed conditions of registration.”

Section 10
·         The establishment of the Board under Section 10 through Section 20 contradicts the Information and Broadcasting Policy of 2003 as at no point it mentions Board establishment. Therefore, the roles under the Board we hereby advise that some of the roles should be placed under the Director of Information Services (sections 4-9) and the remaining be placed under the Independent Media Council (sections 23 -31). The policy recognizes the two organs under Chapter 3.1 and 3.2, respectively.

·         We advise the government to uphold the sanctity process of law making where wherever the inferior contradicts the superior, the latter prevails.

·         However, for the philosophy of the feel good factor, under the above mentioned sections to be deleted, if they were to be improved, then we would suggest the following as per each section:-

Section 12
(a)
·         After the words “to accredit” delete the words “and issue press cards to” and insert the words “and issue certificate of accreditation to…”

The reason for this suggestion is that the Independent Media Council to be established by this law needs to have a stable the source of income. We are of the opinion that members’ subscription fees is a good source of income for the Independent Media Council to sustain its operations.

Therefore, we propose the Board (if not deleted as proposed above) shall go ahead with the mandate to accredit journalists and issue the “accreditation certificate” which will be used as the proof before the Independent Media Council for the bearer to be issued the “Press Card” by the Council. A similar process is practiced by Tanganyika Law Society (TLS) whereby advocates are accredited by the High Court but issued licenses by TLS. This assures sustainability of the Council.
(b)&(c)

·         We propose these two subsections to be deleted as they are taken care of under section 25.

·         Therefore, the subsection for section 12 should be renumbered to read; (a), (b), (c), (d), (e) and (f).

Section13 (a)
·         Before the words “suspend or expunge…” insert the words “in consultation with the Council”

The reason for this suggestion is that the Council is the only organ under this Bill charged with proceeding role. Therefore,   allowing any other organ to unilaterally determine the fate of a journalist without consultation with the Council might jeopardize the interests of the profession.

Section 18
·         We propose immediately after subsection (1) to add sub section (2) which reads:-

(2) A person shall qualify for accreditation as a journalist if that person -

(a)    possess a degree in journalism or mass communication or any other media related field from a recognized institution of higher learning;

(b) posses at least a diploma in journalism and a degree in any other discipline from a recognized institution of higher learning;

·         Reasons: Profoundly, we believe that this is the heart of the law. Journalists in Tanzania need
to command high level of knowledge to match with cutting age technology. We need to focus on 100 years to come and beyond. This fundamental decision of requiring all journalist to have professional training will guide the country smoothly to specialization which will foster the country development at a quicker pace than before.

We have no reason to shy away from this decision. Education is a corner stone for development and a nation with well trained journalists (with specializations) is likely to negotiate her way out of poverty quickly, based on the fact that information (from informed source) is power.

We strongly believe that once the issue of qualification is enshrined in the law, it will be an assurance that Tanzania is seriously embarking on the process of professionalizing journalism than waiting for regulations which at times might be unpredictable!

The fear that some bloggers and individuals interested in airing, writing or otherwise contributing their views through mainstream media or online platform might be compromised by setting the degree standard as a qualification for practicing journalists is baseless.

This law targets only professional journalists who collect, process and publish news through mainstream media.

·         Consequently, we propose after this sub section 2 to add a new sub section 3, which reads:-

·         (3) All practicing journalist shall have five years grace period to acquire the relevant qualification after the commencement of this act.

·         Following the above mentioned amendments thence we hereby propose Section 18 to be renumbered as Section 18 (1), (2), (3), (4), (5), (6) and (7).


Section 19
(1)
·         After the words “issued with press card by…” delete the word “Board” and insert “Independent Media Council after exhibiting the accreditation certificate from the board.”
 (3)
·         After the words “make application to the…” delete the word “Board” and insert the words “Independent Media Council” for harmonization across the Bill.
Section 20
(5)
·         After the words “of wider circulation…” delete the word “or” and insert words “and on…” This intends to make it easy to access the list of accredited journalists at any time throughout the world on the website.
Section 25
·         Under subsection (1) (a) delete the words “in consultation with the board”.

·         After Sub Section (1)(d) insert a new subsection (e) reading “to issue press cards to accredited journalists”

·         Renumber subsection (e) as subsection (f).
Section 28(2) (b)
·         Must be stated that the issuance of the press card is a principle source of income for the Council to be financially sound and independent.
Section 32
·         Delete subsection (2) & (3)

Reason: There is no way a dead person can be defamed. It has been tested all over the world that the principle requirement for one to prove defamation is personal experience on how one felt after contested words were published against him or her.  No dead person is capable of testifying this, hence no law should provide for the impossible.
Section 33
Under section 33(1) after the words “print, writing, painting…” delete the word “effigy or other means”
Section 47
(2) (a)
·         After the words “media outlets without…” delete the word “licensing” and insert the word “registration”.
(c) After the words “any statement the content of which is…” insert the word “intentionally…”
(d) After subsection (d) and after the words “shall be liable to a fine…” delete the words “of not less than five million shillings and not exceeding twenty million shillings or to imprisonment for a period not less than three years but not exceeding five years” and insert the words “of not exceeding three million shillings or to imprisonment for a period not exceeding three years”.
(f) After the words “Shall be liable to a fine…” delete the words “not less than five million shillings but not exceeding twenty million shillings or to imprisonment for a period not less than three years but not exceeding five years…” and insert the words “of three million shillings or to imprisonment for a period not exceeding three years…”
(2) (d) After the “Shall be liable to a fine…” delete the words “not less than five million shillings but not exceeding twenty million shillings or to imprisonment for a period not less than three years but not exceeding five years…” and insert the words “of three million shillings or to imprisonment for a period not exceeding three years…”
Reason: Sanctions imposed to offenders are not intended to damage the offender but rather to mould/discipline, teach or reintegrate the offender within his or her society, hence compelling long term imprisonment or hefty fines might end up not serving the intended purpose.
Section 48
(1)    After the words “Shall be liable upon conviction for the first offense to a fine…” delete the words “not less than five million shillings but not exceeding ten million shillings or to imprisonment for a term of not less than three years but not exceeding five years…” Also after the words “or to both…” delete the words “and for the subsequent offense, to a fine of not less than eight million shillings but not exceeding twenty million shillings or to imprisonment for a term not less than five years and not exceeding ten years…” and insert the words “of three million shillings or to imprisonment for a period not exceeding three years…”
Section 49
(1)     
·         After the words “sedition intention is…” delete “an intention to” and insert “deliberate act to”

Reason: The inserted words will reduce unnecessary repetition of words.

Section 50
(1)
·         After the words “Any person who…” insert the word “deliberately”

(d) After the words “Shall be liable upon conviction in the case of first offender to a fine…” delete the words “not less than five million shillings but not exceeding ten million shillings or to imprisonment for a term of not less than three years but not exceeding five years…” Also after the words “or to both…” delete the words “and for the subsequent offense, to a fine of not less than seven million shillings and not exceeding twenty million shillings or to imprisonment for a term not less than five years and not exceeding ten years…” and insert the words “of three million shillings or to imprisonment for a period not exceeding three years…”
Subsections (2), (3), (4), (5), (6), (7), (8), (9), (10), (11) and (12)  should be deleted and replaced with a new section to be named subsection (2), reading as follows:-
“Any person who is convicted of publishing seditious material upon conviction shall be liable to a fine of three million shillings or to imprisonment for a period not exceeding three years or to both.”

Reason: Printing machine is commanded by a person hence it is passive.

Section 51
(1)    After the words “any person who…” insert the word “deliberately”

After the words “upon conviction, to a fine…” delete the words “note less than ten million shillings but not exceeding twenty million shillings or to imprisonment for a term of not less than four years and not exceeding six years or both” and insert the words “not exceeding three million shillings or an imprisonment not exceeding three years or to both”

Section 52
(1) After the words or body of persons, delete the words “every person who, at the time of the commission of the offense, was concerned as a director or an officer with the management of the affairs or activities of such company or a body corporate, a society, an association or a body of persons, commits an offense and shall be liable upon conviction to a fine of not less than fifteen million shillings but exceeding twenty five million shillings.”
Then rewrite the paragraph to read: “a person who, at the time of the commission of the offense, was a principle officer with the management of the affairs or activities of such company or a body corporate, a society, an association or a body of persons, commits an offense and shall be liable upon conviction to a fine not exceeding five million shillings.”
(2) After the words “such person…” delete the words “director or any officer”.


Section 53
This section should be deleted as it is taken care of under section 52.
Section 54
·         After the words “contrary to the public interest…” delete the words “it may in its absolute discretion and by order published in the Gazette…” and insert words “may apply to the court to…”
Section 55
After the words “public safety…” insert the word “after seeking the court order”
Section 56
After the words “used for such purpose…” insert the word “after seeking the court order”
Section 57
(1)    After the words “affected by it…” delete the words “in any manner” and insert the words “in a manner prescribed by the regulations.”
(2)    After the word “Gazette…” insert the words “newspaper with wider circulation and on the website…”
Section 59
Delete subsection (2)

Section 60
(2) (a) After the words “operation of…” delete the word “license” and insert “register”
(b) delete the word “licensing” and insert “registering”
(g) delete this subsection as it contravenes business principles and hinders investments.

Dar es Salaam, September 25, 2016






COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Waheshimiwa wabunge hakika tumeliona,msitunge sheria ya kuua taaluma.. wadau wanahaki ya kusikilizwa
Waheshimiwa wabunge hakika tumeliona,msitunge sheria ya kuua taaluma.. wadau wanahaki ya kusikilizwa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEieXKdWpXKMlKlOk45WA3tHYTOR-ZpRxa3OD0Dsecg4m_H-UBQWjweuKlXeqFNqhS0jxBdzPug6KKSfC4sVG7dopqk8fQGoWDmlQV4ytoLt0AYMOV1w9yIGLSEAtkLkHY8hiqtY2OsdyOE/s320/Bunge%252BPHOTO.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEieXKdWpXKMlKlOk45WA3tHYTOR-ZpRxa3OD0Dsecg4m_H-UBQWjweuKlXeqFNqhS0jxBdzPug6KKSfC4sVG7dopqk8fQGoWDmlQV4ytoLt0AYMOV1w9yIGLSEAtkLkHY8hiqtY2OsdyOE/s72-c/Bunge%252BPHOTO.jpg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2016/10/waheshimiwa-wabunge-hakika.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2016/10/waheshimiwa-wabunge-hakika.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy