Pea ya chupi zilizovaliwa na aliyekuwa mke wa mmoja wa mafashisti wa dunia, Mjerumani Adolf Hitler, mwanadada Eve Braun imeuzwa katika mnada kwa paundi za kiingereza karibu 3,000. Chupi hizo awali zilikadiriwa kuuzwa kwa paundi za kiingereza 400 lakini hadi nyundo inatua zilikuwa zimefikisha paundi 2,900.

Katika mnada huo ulioendeshwa  katika jumba la mnada la  Philip Serrell  huko Malvern, pia kulinadiwa  pete ya dhahabu, boksi lililotengenezwa kwa madini ya fedha na pia kishikio cha madini ya fedha  kilichokuwa na lipstiki ya Eva.

Bidhaa zote hizo ziliuzwa kwa mtu binafsi.


The knickers, featuring a lace and ribbon trim, are embroidered with Eva Braun's initials.

The gold cluster ring, set with an opal surrounded by six rubies, sold for £1,250, while the silver lipstick case engraved with 'EB' sold for £360.
Meanwhile, a collection of early 20th century black and white photographs depicting Eva Braun, some with Adolf Hitler, sold for £100.
The auction house confirmed the lots were all sold to a collector based in the UK.

Eva Braun was Hitler's mistress. They got married shortly before their deaths in 1945
Sophie Jones, auctioneer and valuer at Philip Serrell, said an "array" of people bid on the items.
She said it was generally private collectors interested in the lots.
"It is generally people fascinated with that period of history," she said. "I think people who were bidding on them were private collectors more than dealers."
Many of the items at the auction, including the underwear, had certificates of authenticity from the relevant seller, she added.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO