Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia kwake) na wabunge wengine wakimsikiliza Profsa Paramgamba Kabudi, Mhadhiri  wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (kulia) wakati alipotoa mada kuhusu Mkataba wa EPA kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Novemba 6, 2016. (Picha na Ofifi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO