Mcheza tenisi Serena Williams  amechumbiwa na  mmoja wa waanzilishi wa mtandao wa Reddit Alexis Ohanian.
Uchumba wa mcheza tenisi huyo na mtaalamu wa masuala ya tehema ulitangazwa katika mitandao ya Reddit na  facebook Desemba 29.
Serena alitangaza uchumba huo katika mfumo wa shairi na shairi hilo kujibi na Ohanian kwamba kukubaliwa kwake kulimfanya kuwa mtu mwenye furahasa sana duniani.
Wawili hao inadaiwa kukutana katika chakula cha mchana mwaka jana.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO