WAZIRI WA AFYA APOKEA NYUMBA 20 ZA WATUMISHI WA AFYA ZILIZOJENGWA NA TAASISI YA BENJAMINI MKAPA MKOANI MWANZA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), hii leo akikata utepe kuashiria upokeaji wa nyumba ...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), hii leo akikata utepe kuashiria upokeaji wa nyumba 20 mkoani Mwanza, zilizojengwa na Taasisi ya Benjamini Mkapa. Nyumba 10 zimejengwa katika wilaya ya Ukerewe na 10 katika wilaya ya Magu.
#BMGHabari
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), akikata utepe kuashiria upokeaji wa nyumba 20 mkoani Mwanza, zilizojengwa na Taasisi ya Benjamini Mkapa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (kushoto), akimpongeza mmoja wa wauguzi wa afya katika Zahanati ya Kijiji cha Sese wilayani Magu baada ya kupata nyumba ya kuishi ikiwa ni miongoni mwa nyumba 20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akisalimiana na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza, alipowasili katika Kijiji cha Sese wilayani Magu kupokea nyumba 20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akisalimiana na baadhi ya watumishi wa taasisi ya Benjamin Mkapa alipowasili katika Kijiji cha Sese wilayani Magu kupokea nyumba 20 zilizojengwa na taasisi hiyo mkoani Mwanza hii leo.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungumza wakati wa halfa ya kupokea nyumba 20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa, mkoani Mwanza.
Mkuu wa Wilaya ya Magu, Khadija Nyembo akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza wakati wa halfa ya kupokea nyumba 20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa, mkoani Mwanza.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dkt.Hellen Senkoro, akizungumza wakati wa halfa ya kukabidhi nyumba 20 kwa Waziri wa Afya, zilizojengwa na taasisi hiyo mkoani Mwanza.
Baadhi ya watumishi wa taasisi ya Benjamin Mkapa wakijitambulisha kwenye halfa hiyo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dkt.Hellen Senkoro (kushoto), akimkabidhi Waziri wa Afya, taarifa kuhusiana na ujenzi wa nyumba 20 za watumishi wa wizara hiyo zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa mkoani Mwanza.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo akiwemo mgeni rasmi, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, wakisaini vitabu vya wageni.
Diwani wa Kata ya Bujashi kilipo Kijiji cha Sese ambacho Zahanati yake imenufaika na nyumba hizo, akitoa shukurani zake kwa serikali.
Mbunge wa Jimbo la Magu, Boniventure Kiswaga, akizungumza katika hafla hiyo ambapo lisha ya kuishukuru Wizara ya Afya kwa kwa kuendelea kuboresha huduma za afya. Amemuomba Waziri wa Afya kumsaidia upatikanaji wa gari la wagonjwa (Ambulance) katika vituo vya afya Kisesa na Ndagalu.
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Sese wilayani Magu waliohudhuria halfa ya kupokea nyumba 20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa, mkoani Mwanza.
Wapiga ngoza za asili kutoka Bujora wakitumbuizwa kwenye halfa hiyo
Wachezaji wa ngoza za asili kutoka Bujora wakitumbuizwa kwenye halfa hiyo ya kukabidhi nyumba 20 mkoani Mwanza, kwa waziri wa afya.
Waziri wa afya (wa tatu kushoto) pamoja na viongozi wengine wakicheza ngoma ya Kisukuma kutoka kwa akina mama wa Kijiji cha Sese wilayani Magu
Viongozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya zoezi la kupokea nyumba 20 za watumishi wa afya, zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa mkoani Mwanza
Miongoni mwa nyumba 20 za watumishi wa afya, zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa mkoani Mwanza
Baadhi ya watumishi wa Taasisi ya Benjamin Mkapa (wawili kushoto), wakitoa ufafanuzi wa jambo kwa wanahabari
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wa tatu kulia), akiteta jambo na Mganga mkuu mkoani Mwanza, Dkt.Leonald Subi (wa nne kulia), katika Kijiji cha Sese wilayani Magu, ilipofanyika hafla ya upokeaji wa nyumba 20 zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa mkoani Mwanza.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amepokea nyumba ishirini kwa ajili ya watumishi wa afya katika wilaya za Magu na Ukerewe mkoani Mwanza, zilizojengwa na taasisi ya Benjamin Mkapa.

Nyumba hizo ni miongoni mwa nyumba 480 zinazojengwa na taasisi hiyo katika halmashauri 51 nchini tangu mwaka 2011, kupitia ufadhiri wa mfuko wa dunia wa kupambana na Ukimwi, Kifua Kikuu pamoja na Malaria wa Global Fund.

Akizungumza kwenye hafla ya kupokea nyumba hizo iliyofanyika katika Kijiji cha Sese wilayani Magu, Waziri Mwalimu, amesema serikali itaendelea kuboresha nyumba za watumishi wa afya nchini hususani wanaofanya kazi maeneo ya Vijijini.

“Nyumba hizi ni kwa ajili ya watumishi wa afya, hatutavumilia kuona anakaa mtu ambaye siyo mtumishi wa sekta hiyo. Tunataka kuvutia watumishi wa afya kwenda vijijini ikiwemo mwaka huu ambapo pia tunataka tuwe na nyumba za vyumba vitatu ili mtumishi ambaye hajaoa apate vyumba yenye vyumba viwili na aliyeoa apate nyumba yenye vyumba vitatu”. Amesisitiza Mwalimu.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamini Mkapa, Dkt.Hellen Senkoro, amebainisha kwamba nyumba hizo zimegharibu zaidi ya shilingi Bilioni moja ambapo kila nyumba yenye baraza, sebule, vyumba vitatu vya kulala, jiko, uzio, mfumo wa kuvuna maji wenye tenki la lita 3,000, choo, bafu pamoja na mfumo wa umeme imegharimu wastani wa shilingi Milioni 51. Nyumba hizo zimejengwa na Kampuni ya Grinda Builders & Supplies.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mkuu wa Wilaya ya Magu, Khadija Nyembo, amesema huduma za afya zimeendelea kuboreshwa mkoani Mwanza ambapo kuna vituo vya kutoa huduma za afya 388  ambapo Zahanati ni 301, Vituo vya afya 53 na Hospitali 17 na kwamba halimashauri zote zinaendelea kuhamasishwa ili kuendelea kuongeza idadi ya vituo vya afya ili kufikia lengo la kuwa na Zahanati kila Kijiji, Kituo cha afya kila Kata na Hospitali kila Wilaya.

Kwa mjibu wa Mganga Mkuu mkoani Mwanza, Dkt.Leonald Subi, mkoa wa Mwanza una nyumba za watumishi wa afya zipatazo 347 ambapo bado kuna upungufu wa nyumba 661 ili kusaidia watumishi wa sekta hiyo kuishi karibu na vituo vyao vya kazi.

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: WAZIRI WA AFYA APOKEA NYUMBA 20 ZA WATUMISHI WA AFYA ZILIZOJENGWA NA TAASISI YA BENJAMINI MKAPA MKOANI MWANZA
WAZIRI WA AFYA APOKEA NYUMBA 20 ZA WATUMISHI WA AFYA ZILIZOJENGWA NA TAASISI YA BENJAMINI MKAPA MKOANI MWANZA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnWxNFNpQ9oHKXIREYUTf4uuZ7-_7qSJNiTw8gmsJdElVVQoti64MVV1MTgb7Kuc2EExBlETMMQrZBPnQJTZ19H0dAZONTutPuGev9bQBPjPlIzxRsmt7f8iDe_o_rfLREEdpC7GyU4v8/s640/1.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnWxNFNpQ9oHKXIREYUTf4uuZ7-_7qSJNiTw8gmsJdElVVQoti64MVV1MTgb7Kuc2EExBlETMMQrZBPnQJTZ19H0dAZONTutPuGev9bQBPjPlIzxRsmt7f8iDe_o_rfLREEdpC7GyU4v8/s72-c/1.JPG
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2016/12/waziri-wa-afya-apokea-nyumba-20-za.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2016/12/waziri-wa-afya-apokea-nyumba-20-za.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy