Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, Mama  Fatma Karume akimlaki Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea nyumbani kwake  eneo la    Maisara Zanzibar  leo Januari 10, 2017.   

Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, Mama  Fatma Karume akigonga na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati wa mazungumzo nyumbani kwake  eneo la    Maisara Zanzibar leo.   

Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, Mama  Fatma Karumeakisisitiza jambo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipomtembelea nyumbani kwake  eneo la    Maisara Zanzibar leo. 

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa  akisalimiana na  Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mama Fatma Karume wakati yeye na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa walipomtembelea nyumbani kwake   ENEO LA  Maisara Zanzibar  leo Januari 10, 2017

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO