Hizi ni taswira tu zinazogusa maisha ya kawaida ya wanafunzi wa shule ya  sekondari Nangano . Maji ni muhimu na hili ndilo sekeseke lake. Wamefukua tu katika eneo la mto lililokauka ili kupata maji. Acheni shule za kusini zisifanye vyema. Haya maji ni kwa ajili ya  matumizi  ya  kunywa  na kupikia  shule .  Na sio wao tu wapo pia wananchi. Picha hizi ni kwa hisani ya http://sautiyakusini.blogspot.com/



Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO