Mfanyakazi wa Tanzania Standard Newspapers Ltd, Shaaban R. Kimokole akipokea tuzo kutoka kwa mwakilishi wa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Korea Tanzania, Songwon Shin baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano Taeguk Il jang katika mashindano ya Taekwondo lijulikanalo kama 1st Korean Ambassador’s Cup Taekwondo Poomsae UAUT Championships 2017 Chuo Kikuu cha Teknolojia cha UAUT kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).Mwakilishi wa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Korea Tanzania, Songwon Shin akiwa katika picha ya pamoja na walimu, viongozi na washiriki wa mashindano ya Taekwondo lijulikanalo kama 1st Korean Ambassador’s Cup Taekwondo Poomsae UAUT Championships 2017 Chuo Kikuu cha Teknolojia cha UAUT kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).


Mwakilishi wa Balozi wa Jamhuri ya Watu wa Korea Tanzania, Songwon Shin akiwa katika picha ya pamoja na walimu, viongozi na washiriki wa mashindano ya Taekwondo lijulikanalo kama 1st Korean Ambassador’s Cup Taekwondo Poomsae UAUT Championships 2017 Chuo Kikuu cha Teknolojia cha UAUT kilichopo Kigamboni, Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).

Mfanyakazi wa Tanzania Standard Newspapers Ltd, Shaaban R. Kimokole akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha UAUT kilichopo Kigamboni Dar es Salaam, Profesa Sung Keun Chang baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano Taeguk Il jang katika mashindano ya Taekwondo lijulikanalo kama 1st Korean Ambassador’s Cup Taekwondo Poomsae UAUT Championships 2017. (Na Mpigapicha Wetu).

Mfanyakazi wa Tanzania Standard Newspapers Ltd, Shaaban R. Kimokole akiwa na mwanzilishi wa Chuo Kikuu cha Teknolojia cha UAUT kilichopo Kigamboni Dar es Salaam, Joshua Lee baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano Taeguk Il jang katika mashindano ya Taekwondo lijulikanalo kama 1st Korean Ambassador’s Cup Taekwondo Poomsae UAUT Championships 2017. (Na Mpigapicha Wetu).

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO