Basi la  Hood lilikuwalinatokea  mjini Morogoro kwenda Kata ya Mvuha , tarafa ya Mvuha  iliyopo katika  halmashauri ya wilaya ya Morogoro likiwa na washiriki kwa ajili ya maadhimisho ya  siku ya wanawake Duniani ( Machi 8)  likiwa limekwama kwenye tope eneo la Kaburi Moja  katika kijiji cha Pangawe, huku  basi  jingine la Master J lililokuwa linatokea Kata ya Kisaki , tarafa ya Bwakila , likinasa kando eneo hilo ,ambapo  juhudi za kuyanasua mabasi hayo zilichukua saa tatu kuanzia saa mbili asubuhi ya siku hiyo  ( Picha na John Nditi wa HabariLeo.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO