Baadhi ya askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU)  mkoa wa Morogoro wakijipanga   mstari wakisubiri zamu ya kuaga miili ya wenzao wanane waliouawa kwa kuuawa kwa  risasi katika shambulio la  kushitukizwa lililofanywa na  majambazi wakiwa kazini wilaya ya Kibiti, mkoani Pwani.

Baadhi ya ndugu wa karibu wa wake za askari ambao waume wao  wameuawa   kwa  risasi katika shambulio la  kushitukizwa na majambazi wakati wakiwa kazini wilaya ya Kibiti, mkoani Pwani wakifarijiana kabla ya kuangwa miili ya askari hayo Aprili 15 eneo la viwanja wa FFU MorogoroPost a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO