.Green WastePro Ltd wang'arisha bustani ya Askari Dar

Bustani ambayo imehifadhi historia ya vita kuu ya kwanza ya dunia (1914-1918)ikiwa na Sanamu ya askari Mwafrika katika sare ya kijeshi ya ...

Bustani ambayo imehifadhi historia ya vita kuu ya kwanza ya dunia (1914-1918)ikiwa na Sanamu ya askari Mwafrika katika sare ya kijeshi ya King's African Rifles aliyeshika bunduki yenye kisu cha kando na kutazama upande wa bahari, imefanyiwa ukarabati mkubwa na Kampuni ya kizalendo ya Green Waste Pro Ltd. Kampuni hiyo kama sehemu ya kurejesha faida kwa jamii ilitengeneza bustani hiyo iliyozinduliwa jana kwa gharama zake wakisimamiwa na mamlaka husika za wilaya na halmashauri. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa bustani hiyo iliyofungwa kwa muda mrefu kwa ajili ya ukarabati kwenye msafara wa mbio za Mwenge, Meneja Msaidizi wa Green WastePro, Erick Mark alisema wamefurahi kwa mwenge kuzindua bustani hiyo inayorembesha mji na kuufanya uwe nadhifu. [caption id="attachment_2234" align="aligncenter" width="750"] Muonekano wa bustani ya Askari monument kabla ya kuzinduliwa rasmi.[/caption] Sanamu hiyo iliyowekwa 1927 na Waingereza kama kumbukumbu ya askari na wapagazi Waafrika waliopigana vita Afrika ya Mashariki iliyomuondoa Mjerumani, iliondoa sanamu ya mtawala wa kijerumani Hermann VonWissman iliyowekwa mwaka 1911. Eneo hilo ambalo sasa lina muonekano unaong'aa zaidi kutokana na kazi iliyofanywa na kampuni hiyo, ni sehemu ya kampeni kubwa ya kampuni ya Green WastePro Ltd iliyoanzishwa mwaka 2011 ikiwa na lengo la kusaidia halmshauri ya manispaa ya Ilala kuwa safi, ya kushawishi wakazi wa Dar kuupenda mji wao na kuusaidia kuuweka bora. Akifafanua zaidi kuhusu mradi wa upendezeshaji bustani ya sanamu ya askari maarufu kama Askari Monument, Mark alisema kazi waliyofanya ni kushawishi watanzania kutambua umuhimu wa usafi na kuringia kuwa na jiji safi hasa katikati ya Jiji. [caption id="attachment_2235" align="aligncenter" width="1024"] Kiongozi wa mbio za mwenge, Amour Hamad Amour akiwa ameshika mwenge baada ya kufika mtaa wa Posta Mpya jijini Dar kwenye uzinduzi wa bustani ya Askari Monument katika manispaa ya Ilala iliyokarabatiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.[/caption] Alisema wanakazi kubwa ya kukabiliana na changamoto za ongezeko la takataka na udhibiti wa uchafuzi wa mazingira hususani hapa katikati ya jiji la Dar es salaam kwenye kitovu cha taifa, kazi ambayo wao wamekuwa wakifanya kwa ufanisi mkubwa usiku na mchana, bila kuchoka toka mwaka 2012 walipopewa dhamana hiyo na Halmashauri ya manispaa ya Ilala kwa mara ya kwanza. Mbali na kazi hiyo pia wamekuwa wakijihusisha na shughuli mbalimbali za kijamii kwa utaratibu wa kujitolea (Corporate Social Responsibility) kama vile upandaji wa miti, utoaji wa vifaa vya kuhifadhia taka mashuleni, usafishaji wa fukwe, utoaji wa vifaa vya kuhifadhia taka na utunzaji wa mazingira maeneo mbalimbali ya jiji letu la Dar es Salaam hususani kwenye Halmashauri yetu ya Manispaa ya Ilala. [caption id="attachment_2236" align="aligncenter" width="1024"] Mkuu wa Idara ya usafi na mazingira Manispaa ya Ilala, Abdon Mapunda akisoma risala kwa mgeni rasmi ambaye ni kiongonzi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2017, Bw. Juma Khatibu Chum (hayupo pichani).[/caption] Akizungumzia mafanikio ya Kampuniya Green WastePro Ltd tangu ianzishwe, Mark alisema wameweza kutengeneza ajira zaidi ya 350 za kudumu pia wamefikia asilimia 80 ya uondoshwaji wa taka ngumu toka Julai 2012, ukilinganisha na miaka ya nyuma ambapo taka ziliondoshwa kwa asilimia 30% hadi 40. Pia wameweza kupanda miti maeneo mbalimbali kiasi cha miti 1,500 ndani na nje ya manispaa hii ya Ilala kwa miaka mitano iliyopita. "Mafanikio mengine ni huu mradi tunaouzindua leo wa ukarabati mkubwa wa bustani hii yenye historia kubwa kwa jiji letu la Dar es salaam bustani ya picha ya askari ibismini maarufu kama (Askari monument) nadhani wote tunajionea palivyopendeza, mwenye macho haambiwi tazama." alisema. [caption id="attachment_2237" align="aligncenter" width="1024"] Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa ndugu Amour Hamad Amour (kulia) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema (kushoto) wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Idara ya usafi na mazingira Manispaa ya Ilala, Abdon Mapunda aliyokuwa anaiwasilisha kwenye uzinduzi wa bustani ya Askari Monument jijini Dar es Salaam kwenye mbio za Mwenge Kitaifa.[/caption] Hata hivyo alisema pamoja na mafanikio hayo, kampuni hiyo inakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwamo tatizo la wizi. "Kwenye mradi huu wezi waliiba minyororo mara mbili. Pia kwenye mradi wa upandaji miti, nayo pia imekuwa ikiibiwa.Pindi tunapomaliza kuipanda hupita watu na kuifukua na kwenda kuiuza tena maeneo mengine. Changamoto ni nyingi sana ila hizi tumezitaja kwani zinahusiana na mradi huu." alisema [caption id="attachment_2238" align="aligncenter" width="1024"] Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema (kushoto) akipiga makofi mara baada ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa ndugu Amour Hamad Amour kuzindua mradi wa uboreshaji na utunzaji wa mazingira wa Bustani ya Askari Monument katikati ya jiji la Dar Es Salaam uliodhaminiwa na kampuni ya Green WastePro ltd.[/caption] Uongozi wa kampuni hiyo hata hivyo ulimwambia Kiongozi wa Mbio za Mwenge na msafara wake kwamba wana matarajio makubwa ya kuanza ukarabati wa bustani ya makutano ya barabara ya Barack Obama na Ali Hassan Mwinyi maarufu kama bustani ya (salender bridge) ili kuendelea kubadilisha mwonekano wa jiji la Dar es Salaam. Aidha kampuni hiyo inategemea kuanzisha mradi wa kuchakata taka ili kupunguza takataka zinazopelekwa dampo na pia kuzalisha ajira nyingine kwenye kazi hiyo na kuongeza kipato cha serikali upande wa kodi. [caption id="attachment_2239" align="aligncenter" width="1024"] Meneja Msaidizi wa kampuni Green WastePro ltd, Erick Mark akitoa ufafanuzi bustani ya Askari Monument iliyotengenezwa na kampuni hiyo kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa ndugu Amour Hamad Amour iliyozinduliwa Posta Mpya jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2240" align="aligncenter" width="1024"] Mkurugenzi wa Green Waste Pro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo (kulia) akipokea mkono wa pongezi kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa ndugu Amour Hamad Amour mara baada ya kumaliza uzinduzi wa mradi wa uboreshaji na utunzaji wa mazingira wa Bustani ya Askari Monument katikati ya jiji la Dar Es Salaam uliodhaminiwa na kampuni hiyo.[/caption] [caption id="attachment_2241" align="aligncenter" width="1024"] Viongozi wa mbio za mwenge wakiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa wilaya ya Ilala wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema mara baada ya kuzindua Bustani ya Askari Monument ambao ni mradi wa uboreshaji na utunzaji wa mazingira wa bustani hiyo katikati ya jiji la Dar Es Salaam uliodhaminiwa na kampuni ya Green WastePro Ltd.[/caption] [caption id="attachment_2242" align="aligncenter" width="1024"] Wananchi waliojitokeza kwenye hafla ya uzinduzi wa bustani ya Askari Monument uliofanywa na Mwenge wa Uhuru katika eneo la Posta Mpya jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_2243" align="aligncenter" width="1024"] Wafanyakazi wa Green Waste Pro Ltd wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye bustani ya Askari monument jijini Dar es Salaam baada ya kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru.[/caption] [caption id="attachment_2244" align="aligncenter" width="810"] Muonekano wa maua yaliyopandwa kuzunguka bustani ya sanamu ya bismini.[/caption] [caption id="attachment_2248" align="aligncenter" width="1404"] Muonekano wa bustani ya Askari monument ikiwa imeshamiri maua ya kupendeza.[/caption] [caption id="attachment_2246" align="aligncenter" width="562"] Mkurugenzi wa Kampuni ya Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo katika picha ya kumbukumbu kwenye bustani hiyo.[/caption] [caption id="attachment_2247" align="aligncenter" width="810"] Muonekano wa usiku wa bustani ya Askari monument.[/caption]

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: .Green WastePro Ltd wang'arisha bustani ya Askari Dar
.Green WastePro Ltd wang'arisha bustani ya Askari Dar
http://www.thebeauty.co.tz/wp-content/uploads/2017/05/IMG-20170530-WA0005.jpg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2017/05/green-wastepro-ltd-wangarisha-bustani.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2017/05/green-wastepro-ltd-wangarisha-bustani.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy