.Msanii Alli Kiba akiwaongoza mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Naibu waziri wa Ajira,Kazi na Vijana, Athony Mavunde, Goodluck Charles na Henry Kinambo kutoka Tigo kucheza pamoja kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 mkoani Arusha usiku wa kuamkia juzi.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo kanda ya kaskazini, Henry Kinabo akizungumza na waandishi wa habari kwenye wa tamasha la Tigo Fiesta2017 mkoani Arusha 
Alicia akiendelea kushamyulia jukwaa la Tigo fiesta Jijini Arusha mapema mwishoni wa wiki iliyopita.

Msanii wa Ben Pol akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamasha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana

Aslay  akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana


Umati wa wakazi wa Arusha wakiwa katika kushuhudia burudani ya Tigo Fiesta 

Shangwe za Tigo fiesta zikiendeleaVanesa Mdee  akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia janaJux akilishambulia jukwaas la Tigo Fiesta 


Maya Sama akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 

Msaga sumu akitumbuiza katika jukwaa la tigo Fiesta.

Young D akishambulia jukwaa la Tigo fiesta usiku wa kuamkia juzi Jijini Arusha.

Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO