Unaonekana uhusiano wa wapenzi maarufu Afrika Mashariki yaani msanii wa bongo fleva Diamond Platinumz na mfanyabiashara wa Uganda Zari Hassan umefika ukingoni.
Zari Hassan ametangaza kuachana na mzazi mwenzake, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz kufuatia kuwapo kwa tuhuma nyingi kuhusu mwanamuziki huyo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wasichana wengine.
Diamond ni baba ya watoto wawili wa Zari ambaye ameoenakana kunyamaza kwa muda baada ya mpenziwe Diamond kukiri hadharani kudanganya katika uhusiano wao na kupata mtoto na mwanamitindo wa Tanzania Hamisa Mobeto.
Tangu hilo litokee mambo hayajakuwa shwari kati ya hao wawili.
Zari ametangaza uamuzi wa kuachana na Diamond kupitia ukurasa wake wa Isntagram ambapo amesema baada ya vuguvugu na tuhuma nyingi wa mpenzi wake kuwa na wanawake wengine kila mara ameamua kuulinda utu wake na kuachana naye.

Haya ndiyo maneno yakeZari
Understand that this is very difficult for me to do. 
There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant cheating and sadly I have decided to end my relationship with Diamond, as my RESPECT, INTEGRITY, DIGNITY & WELL BEING cannot be compromised. 
We are separating as partners but not as parents. 
This doesn’t reduce me as a self-made individual, and as a caring mother, and the boss lady you have all come to know. 
I will continue to build as a mogul, i will inspire the world of women to become boss ladies too. 
I will teach my four sons to always respect women, and teach my daughter what self-respect means. 
Unlike many, I’ve been in the entertainment industry for 12 years, and through all my challenges I came out a victor because I am a winner, and so are all of you Zari supporters. 
HAPPY VALENTINE'S


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO