Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipakwa majivu pajini
wakati wa ibada ya Jumatano ya
Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam asubuhi ya leo
Februari 14, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwadhama Askofu
Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es
Salaam baada ya kujiunga na waumini wengine katika
ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam asubuhi ya leo Februari 14, 2018
Mama Janeth Magufuli akisalimiana
na Mwadhama Askofu Mkuu
Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es
Salaam baada ya kujiunga na waumini wengine katika
ibada ya Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam asubuhi ya leo Februari 14, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama
Janeth Magufuli wakiagana na waumini wenzao baada ya ibada ya
Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam asubuhi ya leo Februari 14, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akisindikizwa na Mwadhama Askofu
Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es
Salaam baada ya kujiunga ibada ya
Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam asubuhi ya leo Februari 14, 2018. Picha na IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mwadhama Askofu
Mkuu Polycarp Kardinali Pengo wa Jimbo Kuu la Dar es
Salaam na Padri Venance Tegete baada ya ibada ya
Jumatano ya Majivu katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
salaam asubuhi ya leo Februari 14, 2018. Jumatano ya majivu inashiria kuanza kwa mfungo wa siku 40 wa kipindi cha kwarezima kujiandaa kw akifo na ufufuko wa Yesu Kristo.Picha na IKULU
Post a Comment
Post a Comment