Makamu
wa Rais, Samia Suluhu, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali
Iddi (kushoto) na Balozi Ali Karume (wapili kushoto) wakishiriki
katika dua ya kumwombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar, Abeid Aman
Karume kwenye kaburi la Hayati Karume lililopo Ofisi Kuu ya
CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar Aprili 7, 2018. Wanne kushoto ni Rais Mstaafu wa
Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi na watatu kushoto ni Rais Mstaafu wa
Zanzibar, Aman Abeid Karume. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
Post a Comment
Post a Comment