Wema Sepetu atamba Sinema Zetu Film Festival 2018 kwa kuibuka muigizaji bora wa kike nchini(best actress) wa feature movie huku filamu yake ya Heaven Sent ikishinda filamu bora ya mwaka kwa kupigiwa kura nyingi na watazamaji. Safari ya Gwalu yawa biggest winner of the night kwa kuibuka na tuzo 5. Gabo ameshinda muigizaji bora wa kiume(best actor) Kwenye filamu ndefu wakati Safari Ya Gwalu ndio filamu bora ya mwaka kwa mujibu wa jury members. List nzima ya washindi...
.
1.Peoples' Choice Award for Best Film
Heaven Sent
2.Best feature Film:- Safari ya Gwalu
3.Best Director feature film :- Daniel Manege:- (Safari ya Gwalu )
4.Best Actor feature film :- Gabo Zigamba
5.Best Actress feature film:- Wema Sepetu
6.Best Comedian:- Musa Kitale
7.Best Screen Play feature film :- Safari ya Gwalu (Daniel Manege)
8.Best Editing feature film:- Watatu( Carole Gikandi Omondi) - Kenya
9.Best Original Music:- Safari ya Gwalu
Best Cinematography:- Watatu(Kenya)
SHORT FILM AWARDS
.
Best Film: – Binti Zanzibar
Best Director:- Said Abdallah Haruni (Picha)
Best Screen Play:- Binti Zanzibar (Barke Ali Muhsin na Salum Maulid Stika)
Best Editing:- Usinitege (Soudy Visual)
Best Original Music:- Binti Zanzibar (Abdallah Marash)
Best Cinematography:- Usinitege (Soudy Visual)
Best Documentary
.
Best Film:- Malipo Duni kwa wapagazi
Best Director:- Anwar Msechu ( Malipo Duni kwa wapagazi)


Post a Comment

Find Us On Facebook

TANGAZA NASI LEO