UWEKEZAJI WENYE MTAZAMO ENDELEVU WA BIASHARA

Lisa akiwa (kushoto) akiwa na mwenzake katika mpango wa GMT, Raj Chandarana wakipanda mti wilayani Hai katika mradi wa mazingira wa TBL. ...

Lisa akiwa (kushoto) akiwa na mwenzake katika mpango wa GMT, Raj Chandarana wakipanda mti wilayani Hai katika mradi wa mazingira wa TBL.
Lisa (wa pili kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzake wa TBL baada ya kushiriki katika mradi wa mazingira mkoani Kilimanjaro hivi karibuni “Wakati serikali ya Tanzania inakwenda kasi katika kutekeleza mpango wa kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda,kunahitajiwa uwekezaji wenye mipango mikubwa ya kuvifanya viwanda vilivyopo na vinavyoanzishwa kuwa endelevu.Sio tu kuwekeza kwenye fedha na teknolojia bali kunahitajika kuwekeza katika kupata wataalamu wa kuviendesha kwa kipindi cha sasa na miaka ya mbele ili viweze kuwa endelevu”,anasema Lisa Cheche, mhitimu wa Chuo Kikuu ambaye kwa sasa yupo katika programu ya kipekee, ya mafunzo ya kuwandaa wahitimu wa vyuo vikuu kushika nafasi za uongozi ijulikanayo kama, Global Management Trainee Program (GMT), ya kampuni ya kimataifa ya ABinBev ambayo ni kampuni mama ya Tanzania Breweries Limited Group (TBL Group) akiwa anafanyika kazi katika kiwanda cha (TBL). Lisa, anaeleza kuwa bila kufanya uwekezaji wenye mtazamo wa kujenga biashara endelevu kwa miaka mingi, kuna hatari ya biashara nyingi hususani viwanda vinavyoanzishwa kutofika mbali; badala yake historia ya nyuma kujirudia ambapo Tanzania ilikuwa na viwanda vingi kuanzia katika awamu ya kwanza ya utawala ambapo vingi vilikufa kutokana na sababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni kukosekana kwa mipango endelevu katika uwekezaji. Akiwa msomi aliyehitimu Shahada ya Kwanza ya Sayansi katika mchepuo wa Viwanda, Utawala,Uhusiano katika masuala ya kazi na Kifaransa, kutoka Chuo Kikuu cha Cornell nchini, Marekani, anashauri kuwa kuna haja ya kuanzishwa Progamu mbalimbali za kuwanoa vijana wa kitanzania wahitimu wa vyuo vikuu na vyuo vya ufundi kwa kuwapatia mafunzo ya vitendo kwa ajili ya kuwaanda kushika nafasi za uongozi katika miaka ya mbele. Akiongea kuhusu kupata nafasi ya kujiunga na Programu ya kuwaandaa vijana wahitimu wa vyuo vikuu kushika nafasi za uongozi ya ABInBev na TBL, Lisa, anaeleza kuwa anajivunia kuwa miongoni mwa wahitimu waliochaguliwa kwenye programu hii kwa kuwa ushindani wa kuipata nafasi ulikuwa mkubwa sambamba na mchujo mkali uliofanywa na wataalamu mbalimbali ili kuhakikisha na kujiridhisha kuwa wanachukua watu wenye uwezo,, makini na waliopo tayari kujifunza. “Kwa muda mfupi ambao nimeanza mafunzo ya vitendo katika kampuni ya TBL nimegundua kuwa programu hii ni muhimu sana kwa kuwa katika kipindi cha muda mfupi nimejifunza mambo mengi ambayo huko nyuma sikupata kukumbana nayo na kila kukicha nakutana na mambo mengi mageni ya kujifunza”, anasema LisaAnasema moja ya ndoto kubwa aliyokuwa nayo katika maisha yake ni kufanya kazi katika kampuni kubwa na yenye mifumo mizuri ya kazi, jambo ambalo limetimia kutokana na mazingira ya kazi aliyoyakuta kwenye kampuni ya TBL,amekuta na timu ya wafanyakazi waliobobea katika fani mbalimbali na ambao wako tayari kutoa utaalamu wao kwa wengine wanaojifunza. Kitu kingine ambacho kinamfurahisha Lisa ,katika safari yake ya mafunzo kupitia programu ya GMT ni kukuta kampuni aliyojiunga nayo, ina mifumo thabiti iliyotokana na uwekezaji makini,kuanzia mifumo ya uzalishaji,usambazaji wa bidhaa,masoko na mauzo na kuwa na sera zenye mtazamo wa kujenga jamii endelevu zinazoenda sambamba na utekelezaji wa malengo endelevu ya milenia ya umoja wa mataifa. “Inafurahisha kuona kampuni inayapa kipaumbele masuala ya msingi katika kujenga biashara endelevu kama vile utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji,usalama wa wafanyakazi wake ,kushirikiana na jamii zilizopo katika maeneo inakofanyia biashara zake kama ambavyo inafanya kazi na wakulima wa zao la Shahiri na mazao mengine,kuhakikisha inapata malighafi zake nchini ,kuendesha mafunzo ya ujasiriamali wadogo wanaosambaza biashara zake ili nao biashara zao ziwe endelevu bila kusahau kufanikisha miradi mbalimbali ya kusaidia jamii mojawapo ikiwa ni miradi ya maji ,kelimisha jamii matumizi ya vinywaji kistaarabu na kushirikiana na serikali na wadau wengine kutoa elimu ya usalama barabarani” Anaeleza kuwa katika safari yake ya mafunzo atafanya kazi katika vitengo mbalimbali vya kampuni ndani na nje ya nchi ili kupata ujuzi,na katika kipindi cha muda mfupi tayari ameshiriki katika miradi ya mazingira,ukuzaji wa vipaji vya wanafunzi na mradi wa promosheni ya bia ya Kilimanjaro inayowezesha washindi kwenda nchini Urusi,kushuhudia mashindano ya kombe la Dunia mubashara. Lisa, anaeleza kuwa anaamini kuwa hadi kufikia mwishoni mwa programu hii ya mafunzo atakuwa amejifunza mambo mengi yatakayomsaidia katika safari yake ndefu ya kukabiliana na changamoto za uongozi sambamba na ubunifu na kutoa mawazo ya kitaalamu yanayowezesha kukabili changamoto na kusonga mbele kibiashara kwa mafanikio. Lisa,alimalizia kwa kutoa ushauri kwa wawekezaji wengine nchini kuwa na mtazamo wa kujenga biashara endelevu sambamba na kuwa na programu za kuandaa wataalamu wa kuendesha biashara wanaopata mafunzo ya vitendo kutoka kwa wataalamu waliopo kama ilivyo programu ya GMT ya ABInBev na TBL.”Programu kama hii ni muhimu kwa kuwanoa vijana wasomi kupata ujuzi na uzoefu zaidi,natamani kuona pia idadi ya vijana wanaochukuliwa katika Programu hii kuongezwa zaidi ya sasa ili inufaishe vijana wengi zaidi”alisisitiza. Akiongea juu ya Programu ya Global Management Trainee (GMT),Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL,David Magese,alisema hii ni progamu inayolenga vijana wasomi ambapo wanaobahatika kujiunga nayo hupatiwa mafunzo ya vitendo kwa kipindi cha miezi 10 kwa ajili ya kuwaandaa kushika nafasi za juu za uongozi ndani ya biashara za kampuni mama ya TBL ya ABIn Bev. Alisema programu ni moja ya mkakati wa kampuni wa kuendeleza vipaji vya vijana na kuongeza kuwa waliochaguliwa kwenye GMT mwaka huu ambao ni 2 kwa hapa nchini mbali na kupata mafunzo ndani ya nchi pia watapata mafunzo kwenye viwanda mbalimbali vya kampuni vilivyopo nje ya nchi kwa kuwa wanaandaliwa kuwa viongozi sio kwa hapa Tanzania bali wanaweza kufanya kazi katika nchi yoyote. Magese,alimalizia kwa kusema kuwa kampuni itaendelea na mpango wa kuendeleza wahitimu wa vyuo vikuu nchini kwa kuwapatia fursa za kukuza vipaji vyao kupitia programu hii ya GMT ambayo imepata mafanikio makubwa katika nchi mbalimbali zilipo biashara za kampuni ya ABInBev.

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,301,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4810,habari. dodoma,23,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: UWEKEZAJI WENYE MTAZAMO ENDELEVU WA BIASHARA
UWEKEZAJI WENYE MTAZAMO ENDELEVU WA BIASHARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidjYMsWSU1NcVEH_CTHCcjoXKAX_ylNdk9VomTv7qh1DA6_ed1SeTqa0CI7IQGbJR9WL4pyCryYhR8WCrFhn-4MuLA5znpEEj_CgEoVIqodnLnL77NWVg9qzmEWMlF7d_Mo_gXyl2ccWU/s640/TBL+MITI+ARUSHA+2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidjYMsWSU1NcVEH_CTHCcjoXKAX_ylNdk9VomTv7qh1DA6_ed1SeTqa0CI7IQGbJR9WL4pyCryYhR8WCrFhn-4MuLA5znpEEj_CgEoVIqodnLnL77NWVg9qzmEWMlF7d_Mo_gXyl2ccWU/s72-c/TBL+MITI+ARUSHA+2.jpg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2018/06/uwekezaji-wenye-mtazamo-endelevu-wa.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2018/06/uwekezaji-wenye-mtazamo-endelevu-wa.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy