Kiwango cha shehena Bandari ya Tanga chapanda kwa asilimia 12.2 baada ya maboresho

Na Mwandishi wetu Kiwango cha shehena kilichohudumiwa na Bandari ya Tanga baada ya maboresho kimekuwa kikiongezeka kwa wastani wa asilim...

Na Mwandishi wetu Kiwango cha shehena kilichohudumiwa na Bandari ya Tanga baada ya maboresho kimekuwa kikiongezeka kwa wastani wa asilimia 12.2 kwa mwaka. Shehena iliongezeka kutoka tani za mapato 667,976 mwaka 2018/19 hadi tani za mapato 987,828 mwaka 2022/23, alisema Meneja wa bandari hiyo Masoud Mrisha akizungumza na wahahariri wandamizi wa vyombo vya habari mwishoni mwa wiki. Aidha alisema ya meli za kimataifa na mwambao zilizohudumiwa zimeongezeka kutoka meli 125 Mwaka 2018/19 hadi meli 197 Mwaka 2022/23 sawa na wastani wa ongezeko la asilimia 16.2 kwa mwaka. Pia ukubwa wa meli (GRT) umeongezeka kutoka GRT 677,922 mwaka 2018/19 hadi GRT 969,986 mwaka 2022/23 sawa na ongezeko la 11.3%. Idadi ya jumla ya makasha yaliyohudumiwa iliongezeka kutoka Makasha 6,259 TEUs kwa mwaka 2018/19 hadi Makasha 7,244 TEUs kwa mwaka 2022/23, sawa na ongezeko la wastani wa asilimia 4.3 kwa mwaka. Pamoja na maboresho katika Bandari ya Tanga bado Bandari ya Tanga ina changamoto ya upatikanaji wa shehena ya makasha sababu kubwa ikiwa ni uhaba wa shehena ya kupeleka nje ya nchi (Export), hii inapelekea wamiliki wa meli kutoleta meli kubwa na hivyo Bandari ya Tanga kuhudumia feeder vessels kwa shehena ya makasha. Akifafanua zaidi manufaa ya maboresho hayo Masoud alisema shehena iliyohudumiwa katika kipindi cha Julai 2023 – Machi 2024, kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ilifikia tani 868,957 DWT ikiwa ni sawa na asilimia 116.1 ya shehena iliyohudumiwa kawa kipindi kama hicho kwa mwaka wa fedha 2022/23 ambapo jumla ya tani 748,742 DWT zilihudumiwa. Jumla ya meli 217 zenye ukubwa wa GRT 1,160,799 zilihudumiwa katika kipindi cha Julai 2023 hadi Febuari, 2024. Aidha akitoa mchanganuo alisema meli 94 zilikuwa za Kimataifa (Deep Sea) na Meli 123 zikiwa meli za Mwambao (Coastal vessel). Idadi hiyo ya meli zilizohudumiwa ni asilimia 35.6 juu ya meli zilizohudumiwa kipindi kama hicho kwa mwaka 2022/23 ambapo meli 160 zenye ukubwa wa GRT 710,655 zilihudumiwa. Mafanikio hayo yametokana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Uchukuzi chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kutekeleza miradi miwili ya kimkakati katika awamu mbili yenye jumla ya thamani ya fedha Sh 429.1.
Katika awamu ya kwanza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania iliingia mkataba na Mkandarasi M/S China Habour Engineering Company (CHEC) Agosti 3,2019 na kuanza rasmi utekelezaji wa kazi mwezi Oktoba 2019 na kukamilika mwezi Juni 2022 kwa thamani ya Sh bilioni 172.3. Pia mnamo Oktoba 24, 2019 TPA iliingia mkataba na kampuni za M/s NIRAS A/S (AS A LEAD Firm) ya Denmark kwa ushirikiano na M/S Maritime & Transport Business Solution, M/S ILF Consulting Engineers na M/S Anova Consult Company Limited ya Tanzania kwa kufanya upembuzi yakinifu na kusimamia mikataba ya ujenzi wa gati pamoja na kuongeza kina (draft) katika Bandari ya Tanga kwa niaba ya TPA. Mradi huu ulihusisha upanuzi wa eneo la kuingia na kutoka Bandarini (entrance channel) lenye upana wa mita 73, kuongeza kina cha maji (dredging) kutoka mita 3 hadi kufikia mita 13 (draft),upanuzi wa eneo la kugeuzia meli (turning basin) kuwa na kipenyo cha mita 800 na ununuzi wa mitambo kumi na sita (16) ya kuhudumia shehena. Aidha katika awamu ya pili Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania iliingia mkataba na Mkandari M/S China Habour Engineering Company (CHEC) Julai 30, 2020 kwa ajili ya kuboresha Bandari ya Tanga awamu ya pili na kuanza kazi mnamo tarehe 16 Disemba 2020. Mradi huo ulihusisha ujenzi wa gati lenye urefu wa mita 450, kina cha mita 13CD na yadi ya makasha (Container yard) ya mita za mraba 7,230. Gati hili lina uwezo wa kuhudumia meli za makasha 2 zenye urefu wa mita 220 na kubeba tani mpaka 60,000 kwa wakati mmoja. Bandari ya Tanga ni miongoni mwa Bandari kuu tatu za mwambao wa Bahari ya Hindi, zilizo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Bandari ya Tanga ilianzishwa miaka ya 1880 na Ukoloni wa Kijerumani ikijulikana kama “Marine Jetty”. Ujenzi wa gati ya kwanza lenye urefu wa mita 221 ulifanyika mwaka 1914, na gati ya pili lenye urefu wa mita 229 mnamo mwaka 1954. Gati zote mbili zenye jumla ya urefu wa mita 450 zilikuwa na kina cha maji (draft) mita 3 na uwezo wa kuhudumia shehena tani 750,000 kwa mwaka. Hali hiyo ilisababisha Bandari kutokuwa na uwezo wa kupokea meli gatini, na kufanya kazi ya upakuaji na upakiaji kufanyika nangani umbali wa Kilometa 1.7 kutoka gatini. Aidha, eneo la Bandari ya Tanga lina jumla ya Hekta 400 ambapo Hekta 17 kati ya hizo ndipo ilipo Bandari ya sasa, Hekta 176 zipo eneo la Mwambani na Hekta 207 zipo katika kijiji cha Chongoleani eneo ambalo linatarajiwa kujengwa gati ya kuhudumia shehena ya Mafuta.

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,302,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,77,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,238,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4816,habari. dodoma,24,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,51,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,501,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,350,muziki na fasheni,5,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,1,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: Kiwango cha shehena Bandari ya Tanga chapanda kwa asilimia 12.2 baada ya maboresho
Kiwango cha shehena Bandari ya Tanga chapanda kwa asilimia 12.2 baada ya maboresho
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgr1ZE-of3DwBst3q-nd9kexo2W13slANKD3VAoiCkhXEp-RutUkZkcsOcrCOJnAKrepkzI_jEzzhpgZPc3T0yZrb_pvhEhFmcO3I-hUSSjY7H9mbzfC35Se0cmp32TjD-VeSX7gl9oh4CtPu1_eGP-duN9NXmfF-VSNIIvkvLgj6So1ckcEtDQB8A-6n1a/s320/meneja%20wa%20bandari%20ya%20tanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgr1ZE-of3DwBst3q-nd9kexo2W13slANKD3VAoiCkhXEp-RutUkZkcsOcrCOJnAKrepkzI_jEzzhpgZPc3T0yZrb_pvhEhFmcO3I-hUSSjY7H9mbzfC35Se0cmp32TjD-VeSX7gl9oh4CtPu1_eGP-duN9NXmfF-VSNIIvkvLgj6So1ckcEtDQB8A-6n1a/s72-c/meneja%20wa%20bandari%20ya%20tanga.jpg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2024/04/kiwango-cha-shehena-bandari-ya-tanga.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2024/04/kiwango-cha-shehena-bandari-ya-tanga.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy