EFTA Yafadhili Wakulima watano kwenda Uturuki kujifunza ubunifu katika Kilimo.

EFTA yafadhili wakulima Watano Kutembelea Uturuki Kujifunza Kilimo: Safari ya Kubadilishana Maarifa na Ubunifu wa Kilimo Na Magesa Magesa ...


EFTA yafadhili wakulima Watano Kutembelea Uturuki Kujifunza Kilimo: Safari ya Kubadilishana Maarifa na Ubunifu wa Kilimo

Na Magesa Magesa

Octoba, 2024.
Dar es Salaam.

Katika juhudi za kuhakikisha  wakulima nchini wanapata maarifa na mafunzo zaidi ya mbinu bora za kilimo.

Kampuni ya EFTA inayojishughulisha na utoaji wa mikopo ya mashine za aina mbalimbali kwa wakulima bila dhamana imefadhili wakulima watano kutoka maeneo mbalimbali nchini kutembelea nchini Uturuki kwa lengo la kujifunza zaidi mbinu bora za kilimo ambazo wakulima wa Uturuki wamekuwa wakizitumia katika kujihakikishia kilimo chenye tija.

Akizungumza kuhusu ziara hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA Bwana Nicomed Bohay, amesema ziara hiyo nimatokeo ya promosheni ya “Nunua Trekta Ushinde Safari ya Uturuki" iliyozinduliwa mwezi machi, 2023 ikiwa na lengo la kuwahamasisha wakulima nchini kujitokeza kwa wingi na kukopa Matrekta aina ya New Holland TT75 4WD ambayo kampuni ya EFTA iliyanunua kutoka kwa kampuni ya CNH Industrial ya nchini Uturuki ambao ndio watengenezaji wa Trekta za New Holland Pamoja na zana zingine za kilimo za chapa New Holland.

Akifafanua zaidi kuhusu kampeni hiyo, Bohay, amebainisha kuwa Lengo kuu la kampeni hiyo lilikuwa ni kuhakikisha upatikanaji wa matrekta ya New Holland TT75 4WD yanapatikana kwa urahisi nchini pindi wakulima wanapoyahitaji.

“Miaka ya nyuma ilimuhitaji mkulima kusubiri siku sitini hadi tisini kupata Trekta analohitaji ili lisafilishwe kutoka uturuki mpaka limfikie, na hii kwa kweli ilikuwa changamoto kubwa sana kwa wakulima wetu na hasa ukizingatia wao hutegemea misimu ya mvua kufanya shughuli za kilimo” alisema Bohay

 

Kwa kuuona ukubwa wa changamoto hiyo kampuni yetu iliamua kununua Trekta zaidi ya 200 aina ya New Holland TT75 4WD na kuzileta hapa nchini ili pindi wakulima wanapokuwa wanazihitaji basi waweze kuzipata ndani ya muda mfupi. Aliongeza Bohay

Bohay amesema kuchochea mwitiko wa wakulima kununua au kukopa Trekta hizo kwa wingi ambazo zilikuwa zikipatikana kwa urahisi nchini ndio maana walikuja na wazo la Promosheni hiyo ambayo Pamoja na malengo yake ya msingi ililenga kuwawezesha wakulima watakaoibuka washindi kujipatia nafasi ya kutembelea Kiwanda cha Matrekta cha New Holland nchini Uturuki Pamoja na kujifunza teknolojia mbalimbali ambazo wakulima wa Uturuki huzitumia kujipatia mazao mengi zaidi.

Katika kipindi cha siku nne za ziara , wakulima hawa walitembelea kiwanda cha utengenezaji wa Matrekta cha New Holland nchini Uturuki, ambapo waliona mchakato wa kutengeneza matrekta ambayo kwa sehemu kubwa hutumiwa na wakulima wa Tanzania. Ziara hii iliwapa uelewa wa kina kuhusu teknolojia na uhandisi unaohusika katika kuunda Matrekta hayo Pamoja na mashine zingine.

Ziara hiyo pia ilihusisha warsha na semina, ambapo wakulima walijifunza ubunifu mbalimbali katika kilimo endelevu, kilimo hai, na matumizi ya zana za kidijitali katika kilimo cha kisasa.

Kwa upande wake kiongozi wa msafara huo, Bw. Clerius Asiel, Mkuu wa Idara ya Mauzo na Masoko wa EFTA, amesema safari hiyo imekuwa ni fursa muhimu sana kwa wakulima alioambatana nao kujifunza zaidi mbinu bora za kilimo

“Wakulima hawa tayari wanatumia mbinu za kisasa za kilimo, lakini kutokana na maendeleo ya haraka ya teknolojia, kuna mengi zaidi ya kujifunza. Ziara hii imewaruhusu kufikiria nje ya mbinu walizokuwa wakitumia na kuchunguza jinsi wanavyoweza kutumia mbinu za kisasa zaidi ili kuongeza mavuno yao.” Amesema Clerius

Kwa upande wao baadhi ya washindi wa ziara hiyo wameishukuru sana kampuni ya EFTA kwa fursa hiyo ya ziara ya mafunzo nchini Uturuki maana wamejifunza mengi ambayo wameahidi kuyatumia katika kuleta mapinduzi katika shughuli zao za kila siku za kilimo.

Peter Keppa ni mmoja wa Washindi wa ziara hiyo akitokea wilaya ya Hanang mkoa wa Manyara, anasema ziara hiyo imemtoa “tongotongo” “ Mwanzoni nilijua kwa kumiliki tu Trekta basi tayari unakuwa mkulima wa kisasa, ila ukweli sikuwa sahihi baada ya ziara hii na maarifa niliyoyapata na huku kwa wenzetu sasa ndio naenda kuwa mkulima wa kisasa maana nimekusudia elimu yote niliyoipata huku kuitumia kwa usahihi” Amesema Keppa

Kupitia ziara hiyo Keppa amesema wakulima wa Uturuki hawategemei mvua kupata mavuno, “sehemu kubwa ya kilimo chao ni cha umwagiliaji, nadhani huku ndiko hata sisi wakulima wa Tanzania Tunatakiwa tuelekeze mawazo yetu sasa, wenzetu mvua sio changamoto kwao, kwa sababu wamewekeza sana katika mifumo ya umwagiliaji, ambayo inahakikisha mavuno yao yapo salama muda wote.”

Kwa upande wake Bwana, Nobert Alexander mshindi mwingine aliyepata Bahati ya kuwa kushinda fursa ya kuwa katika ziara hiyo amewashukuru sana kampuni ya EFTA na kuelezea furaha yake kwa maarifa aliyoyapata katika ziara hiyo.

“Ziara hii imetupa maarifa ambayo hatukuwa nayo kabla. Tumeona jinsi teknolojia ya kisasa inaweza kurahisisha kilimo, na ninatarajia kutumia yale niliyoyajifunza ili kuongeza mavuno yangu, lakini pia nitawashirikisha pia na wakulima wenzangu ili sote kwa Pamoja tufanikiwe.” Amesema Nobert

Mkulima mwingine, Bw. Charles Gidamoni, aliongeza, “Hii ilikuwa ni uzoefu wa kubadilisha maisha. Ujuzi tuliopewa hautabadilisha tu mashamba yetu, bali pia utakuwa mwongozo kwa wakulima wengine katika jamii zetu.”

Kupitia ziara hii wakulima hawa sasa wanao uhakika wa kuboresha kilimo chao kwa kutumia teknolojia mbalimbali za kilimo huku wakiwa na uhakika wa kupata mikopo ya mashine za kilimo watakazo zihitaji ili kutoka EFTA bila dhamana ili kuongeza ufanisi katika kilimo chao.


Washindi wa Nunua Trekta Ushinde Safari YaUturuki wakiwa katika Uwanja wa ndege wa Istanibul mara baada ya kuwasili nchini Uturukitayari wa ziara ya Mafunzo ya Kilimo.


Picha za matukio mbalimbali wakati wa ziara hiyo.



Picha za matukio mbalimbali wakati wa ziara hiyo.

Picha za matukio mbalimbali wakati wa ziara hiyo.

Picha za matukio mbalimbali wakati wa ziara hiyo.

Picha za matukio mbalimbali wakati wa ziara hiyo.
Picha za matukio mbalimbali wakati wa ziara hiyo.

Picha za matukio mbalimbali wakati wa ziara hiyo.

COMMENTS

Name

Anga,11,Arusha,27,Burudani,308,burundani,1,come rain,1,come sun,1,Crazy in Love kama wimbo kama wao wenyewe,1,dahh sijui kweli mbona shida,1,Dar utakuja je tumejiandaa,1,daraja sahau nini,1,demokrasia ya upanga,1,Dodoma,78,Dole tupu vijana wa zamani,1,Duhh bibie endeleza libeneke,1,Duhh kaisikie Walibana,1,duhh kwa mbagala mama lazima awe supa,1,Fedha za maiti haziliwi bure,1,Fedha za watu kwa maendeleo ya watu,1,Fikira,14,filamu,243,Filamu ndio kielelezo cha ukuzi wa taifa,1,flamu,7,Gandamiza Kibara baba ake,1,Habari,4978,habari dodoma,19,habari. dodoma,31,hadithi,19,hakika tumeweka historia,1,hakuna noma jongwe,1,hapa kwetu inakuwaje vile,1,hasira hasara,1,hata maji,1,hataki masikhara na maisha yake,1,hatubonyezi kizenji,1,haya ndiyo mambo ya Ulaya,1,haya si yangu ni ya mdau mwenye hasira,1,haya wabongo na mambo kutoka nje,1,He he he wananikumbusha upishi wa shaba,1,Headline,1,Hii hurejesha uhai,1,Hii iko sawa kweli?,1,Hii imekaa vizuri,1,Hii inakaaje vile,1,Hii kweli noma,1,Hii maana yake Moro kuna uhaba wa chakula,1,Hii mexico,1,Hii mihasira mingine bwana,1,Hii ndio moro sio mpaka dar,1,hii ni hatari,1,Hii ni kiboko anayetaka kubisha ajibishie tu,1,Hii ni moja ya staili za kunyoa nywele,1,Hii si lukwangule,1,hii staili mpya,1,hili ni jengo pacha la malaysia ghorofa 88,1,Hivi ni ngoma tu,1,hivi nini siri za serikali,1,hivi sisi tunajua kama kuna vitu vya aina hii,1,hivi vitu bwana,1,Hiyo ndiyo gharama ya demokrasia,1,Hizi imani nyingine ni hatari,1,Hizi takwimu hizi mhh,1,Hongera bibie,1,Hongera dada etu kwa kutuletea kaka etu (shemeji) kwani mwenye dada hakosi shemeji,1,Hongera sana,1,huhitaji mifedha kuwa msafi,1,Huko Ulaya,1,Huu ndio ustaarabu,1,huu ujiko utakuwa mkubwa,1,imetosha,1,Inahitaji nidhamu fulani,1,inakuuma au...,1,Inakuwaje kama filamu yenyewe itahitaji busu la nguvu,1,Inaonekana watanzania hatukuwepo,1,Ipo kazi Maximo,1,Iringa,22,Isiwe mijineno tu manake mihela hubadili watu kweli,1,Itakuwa laki moja ya halali,1,jamani huu kama si ushamba kumbe nini,1,Jamani mbona Mungu anatupigania,1,Jamani watoto wanatakiwa kupendwa,1,jamani.. jamani ukiikosa Diamond usijutie,1,Je nyumbani hakuna vitu vya aina hii?Tuambie,1,je walikuwepo watu wa huduma ya kwanza,1,Je watanzania wanalipa kodi,1,jela kwa raha,1,Jolie,1,juhudi za lazima kuinua filamu,1,kama si kiwanda cha chumvi nani atawajua hawa,1,Kama kweli ndio kweli basi kila heri,1,Kama Mkristo naamini hilo hiyo si sahihi,1,kama unajua kuyarudi nenda Malta,1,kama wao wanaweza sisi je,1,Kamua baba waache wakanyagane,1,karibu nyumbani dada yote maisha tu,1,karibu Tatiii,1,KARIBUNI,1,Katavi,5,kaza buti hakuna kukata tamaa inalipa,1,kazi kwako mheshimiwa waziri wa madini,1,kazi na burudani,1,keep it up bloggers,1,kero ya usafiri sasa kwisha,1,Kila chenye roho na mwili kitaonja umauti,1,kila kitu kina vitu,1,Kila la Heri jamila,1,kila la heri kwani ni changamoto,1,Kipya,51,Kiuno bila mfupa,1,Kolelo mzimu ambao bado hai,1,KUBWA,1,Kudumisha urafiki wa dunia,1,Kuna dalili za wasomi kukubali Uafrika,1,kuna makala humu humu ndani ya blogu sijui mnasemaje,1,Kuu,113,kwa mara nyingine tena Tigo imewezesha,1,Kwa mchanganyiko huu muungano lazima udumu,1,Kwa mihasira hajambo,1,kweli,1,Kweli ina mkono mrefu tuone,1,Kweli duniani tunatofautiana,1,la maana ni kuwa na jiko au vipi,1,labda halitabadilika tena,1,lakini mwafaka lazima,1,lengo ni kutafakari,1,leteni vitu tuvione,1,lets us,1,Lucy wanakuelewa hawa...,1,Lukwangule nyumbani kwetu,2,M ungu bariki mikono ya madaktari wafanikiwe,1,MAARUFU,1,maendeleo ya soka siku zote yanahitaji fedha ili yapatikane,1,maisha ni vyema kuyaangalia,1,MAJIBU,1,makala,52,mama ni mama tu anapendeza,1,mambo mengine we angalia tu,1,mambo msimamo,1,mambo sasa mchanganyiko,1,Mara nyingine huona tunakotoka kwa kuona wenzetu,1,Mashabiki wa rhumba mpooooooooo,1,Masitaa,12,Maskani,1,MASOKO,3,Masupa staa mnaoinukia mpoo,1,Matamasha,6,mavazi ya kuogelea yanaposhindaniwa,1,Mbeya,11,Mchakamchaka anti Asmah,1,Mchanganyiko,81,MCHANYATO,1,mchezo,5,mengi wanayoyaita siri ni public information,1,mfumuko wa bei mpaka noma,1,Mhh sijui watu wa Sua ambao wako huko wanasemaje,1,Mhh ugua pole dada watu wanataka burudani,1,Michezo,510,Michezo maalum inatakiwa kupigiwa debe,1,miguu,1,miguu babu,1,Mikataba mingine ama hakika tuiangalie hata wakopeshaji nao wanatugeuza sakala,1,MIMI NI KISURA NAJITAMBUA,1,Mimi sijajua hasa kumetokea nini kwani ninavyojua hawa huwa na ungalizi wa hali ya juu,1,Mimi simo,1,mimi sisemi,1,mkiwa chumvi basi mkoze,1,Mkiwa taa mulikeni,1,Mnaonaje je hii imekaa vyema,1,Mnaweza wakwetu hapa,1,Morogoro,51,mrithi wa mwanadada Whitney Houston,1,Mtwara,4,Mungu aiweke mahali pema roho yake,4,Mungu amrehemu,1,Mungu amweke pema peponi,1,Mungu awabariki sana,1,Mungu awe nao,1,Mungu ibariki Tanzania,1,Mungu tuepushe na imani hizi za kishirikina,1,mungu tufanye tuwe na upendo,1,Mungu twaomba utuhurumie,1,Muziki,351,muziki na fasheni,6,Mwanahabari,33,Mwanza,6,Mwendo mdundo dada,1,Mwenge huo utakimbizwa duniani kwa siku 130,1,Mwenge wa olimpiki ni ishara ya urafiki,1,Mzee wa Farasi nakupa saluti,1,Mzimbabwe huyu kutoka kwa mama mkali,1,N i dar mpaka Moro au bao tatu bila,1,Na sisi je,1,Naam kama haiwezekani hapa,1,Nairobi waanzisha tena utalii,1,namna bora ya kusaidia jamii,1,nani abebe hukumu na lawama,1,nani asiyejua utamu wa pipi,1,Nani kama baba,1,naona inafaa kuchangia mimi sitoi hoja,1,ndoa za mastaa huwa na mgogoro,1,nenda mwaya nenda,1,New Zanzibar Modern Taarab na wapenzi big up,1,news,5,Ni bikini kwa kwenda mbele,1,Ni Dar mpaka Moro au.. tatu bila,1,ni furaha za muungano,1,Ni kazi ngumu yenye kuhifadhi utamaduni,1,Ni kuchakarika kuonyesha urafiki na biashara pia,1,ni mfumuko wa bei au mfumuko wa nchi,1,Ni muhimu kutazama afya yako,1,ni muziki kwa kwenda mbele,1,Ni muziki mpaka China,1,Ni raha tupu,1,Ni Serengeti Premium Lager,1,Ni Tigo na mawasiliano ya kisasa,1,Ni wakati wa kuujadili utamaduni,1,Ni zaidi ya jazz,1,Nitasubiri and welcome home,1,nje je?,1,NUKUU YA LEO,1,nyie mnasemaje kuhusu hili,1,Ona Kolelo na sindikizwa na Wazee wa Gwasuma,1,ona vya dunia,1,One step ahead,1,patna mwingine mjamzito,1,Pengine anamuogopa Jada Pinkett manake kwa wivu..,1,picha,494,Pole Jamila hayo ndiyo mashindano,1,poleni sana,1,poleni sana wanyalukolo,1,Powa sana,1,Profesa jamaa wanakumaindi,1,Roho za marehemu zipate pumziko la milele,1,Ruvuma,9,sakata dansi mpaka kwenye kilele cha dunia,1,sasa kumebakia ugonjwa mmoja polisi kuendesha mashtaka,1,sasa mifedha kila mahali hongereni,1,Sasa ni mavuno,1,Sasa ni wakati wa kutafuta upenyo ndani ya IDOLS,1,SAYANSI,1,SAYANSI ANGA,2,See Uluguru Montains,1,serikali inataka kujihami kwanini,1,Show of support Big Up Madame,1,Si kitu kidogo hata kidogo,1,si unajua tena namie naimwaga hivyo hivyo,1,Siasa,346,siasa habari,2,Sijui kama City wanajua Mbagala noma,1,Sijui tunaishi karne gani yailahi,1,Sinema,9,sio advencha....kaaa ...niko kibaruani,1,Sisi ndio tunaanza vitongoji,1,Sisi yetu macho na masikio,1,Slow slow jamani,1,sto,1,tabasamu kali la mwenge wa olimpiki,1,Tabora,1,Tazama Waziri Mkuu Pinda wasije wakapindisha maamuzi yako,1,TEKNOLOJIA,1,Thats big man game,1,This is crazy Africa,1,This is Mgeta,1,Tibet wamegeuza Olimpiki jukwaa la siasa,1,Titbits collection,1,Tubadili tamaduni,1,Tuchangie mambo yaive,1,tuendeleze sanaa,1,tuienzi na sisi mbona wizara haituambii,1,Tuipeleke kaskazini,1,Tuisaidie serikali shida ya Mererani,1,tujue namna ya kupumzika,1,Tulienda kustarehe au kufanya fujo,1,Tumsaidie mtototo huyu kurejea katika hali ya kawaida,1,tunahitaji haya,1,Tunajifunza kweli kutoka kwao,1,Tunapandisha chati tu,1,Tunasubiri,1,tunazidi kuhesabu siku,1,TUNAZISUBIRI ZA VINARA ADAR,1,Tuombe nafuu kwa wagonjwa,1,Tuombe rehema kwa mungu,1,Tuone yatufae,1,Tusingoje wengine watusemee,1,tutampa tafu kubwa Prof,1,tuuenzi utamaduni au vipi,1,Tuukuze na kuulinda,1,tuvipende,1,tuwalinde maalbino,1,Tuwe kweli wakweli,1,ubunifu siku zote hulipa,1,uchumi huzunguka kwa kuwawezesha wasukaji,1,udumu muungano,1,Ugonjwa huu wa sasa ni kitendawili,1,Ukiiona kolelo utaipenda,1,Ukirejea salama kila mtu anafurahi,1,Umelenga Mkuchika utamaduni unakufa,1,unaposaka uwakilishi wa dunia,1,urafiki,1,Usisahau wazee wa Ngwasuma,1,UTAMADUNI,1,Video,2,Vionjo vipya ndani ya Gwasuma,1,Vita dhidi ya ufisadi,1,vitongoji Miss Tanzania navyo vimeanza,1,Vitu vikali vyazidi kuingia Dar,1,Vituko,77,Vituo vya polisi Tanga vyatelekezwa,1,VIVALO,1,Wacha tujifue,2,Wadau ilitolewa kiingereza,1,wakali wa ubunifu,1,wala usibabaike mwakwetu hii noma,1,wanadamu wanapotaka kujua zaidi,1,wanasema mpaka kieleweke,1,Wanataka kujua mali za JK na wengine,1,Wanawake wenye mvuto: Monroe,1,Wapo mabinti wa matawi ya juu,1,watu wanapofanya weli kwenye sanaa,1,waweza kurejea enzi ya Moro jazz na Cuban malimba,1,Wazee tupo kusindikiza,1,waziri,1,welcome dar baby,1,Wenzetu wameona sisi tunangoja nini kuangalia,1,wewe unasemaje,1,wigo mpana wa utamaduni,1,wilaya ya 'Mbagala' mlie tu,1,Yaaani sijui itawezekana,1,Yaani wakati mwingine hata huelewi prioty over priority,1,yeye mbele sisi nyuma,1,Yote maisha dada,1,ZA MOTOMOTO,1,Zanzibar,79,zawadi zinatakiwa ziende shule,1,ZILIZOTIA FORA,1,zitachangia kupunguza makali ya bei za umeme,1,
ltr
item
Lukwangule Entertainment: EFTA Yafadhili Wakulima watano kwenda Uturuki kujifunza ubunifu katika Kilimo.
EFTA Yafadhili Wakulima watano kwenda Uturuki kujifunza ubunifu katika Kilimo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhoahfwd6X9p6DQBTUtMxsNY__iC7R-sB3BVz9ltG9CQwXOD7XImJrmR0DUxOxUSR2sb8wO_fOLY82vp5utio-60MqFyTwFmsHdNebZHMJaGNn7UORjai9o9tej5D57C5D1BBNddSDlefItVL1RJbRLBplBPeQQCnn6qeiYPzwJki99CD0IfxNRbIhm5A/w640-h360/WhatsApp%20Image%202024-10-30%20at%2021.53.01.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhoahfwd6X9p6DQBTUtMxsNY__iC7R-sB3BVz9ltG9CQwXOD7XImJrmR0DUxOxUSR2sb8wO_fOLY82vp5utio-60MqFyTwFmsHdNebZHMJaGNn7UORjai9o9tej5D57C5D1BBNddSDlefItVL1RJbRLBplBPeQQCnn6qeiYPzwJki99CD0IfxNRbIhm5A/s72-w640-c-h360/WhatsApp%20Image%202024-10-30%20at%2021.53.01.jpeg
Lukwangule Entertainment
http://lukwangule.blogspot.com/2024/10/efta-yafadhili-wakulima-watano-kwenda.html
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/
http://lukwangule.blogspot.com/2024/10/efta-yafadhili-wakulima-watano-kwenda.html
true
934549962738256429
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy