![]() |
Doto James |
JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI
YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu:
255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www.ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425 |
OFISI
YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Agosti, 2016 amemteua Bw. Doto
M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Doto M.
James alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango (Sera).
Bw. Doto M. James ataapishwa
kesho tarehe 01 Septemba, 2016 saa 2:45 Asubuhi Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Kufuatia uteuzi huo aliyekuwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius Likwelile atapangiwa
kazi nyingine.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa
Mawasiliano, IKULU
Dar es Salaam
31 Agosti, 2016
Post a Comment
Post a Comment